Mzungu kaniambia nimtumie details zangu, ni zipi hizo?

Mmefahamiana vp na huyo Mzungu wako hadi mfikie kutaka kutumiana document?
 
Wakuu na mimi naomb mnisamehe kwa kutoka nje ya mada,

Natumia Nokia 112 kwa ufupi inalingana au ni ndogo kgd kulinganisha na Kidole kidogo cha LE MUTUZ, haiwez ku quote hii comment inamhusu huyo jamaa aliekurupuka tu from no where anakuja kutukana wakristo, naamin atakua dar tena karb na magogoni mana mabwana wanaoish maeneo yale mirembe wameshndkana.

Nikirud kwa mtoa mada, ningekushaur utume cheti cha form four, cha ndoa kama upo hai bas ila kama umefariki tuma kabsa na cha kifo.
 
Tuma vyeti halisi, tuma ATM Card + password, tuma leseni yako ya udereva,tuma hati ya nyumba, kiwanja au shamba. Ukishatuma hivyo utapewa huduma zote ikiwemo greencard
 
habarini wana mjengo huu wa jamii f.
wiki iliyopita kuna mzungu wangu kutoka USA aliniambia nimtumie details zangu zote maana kuna vitu anataka anitumie, sasa je hizo details ni zipi jamani? maana nachokijua waga ni email, so please wazoefu naomba muweke uzoefu wenu hapa.
unaibiwa very soon stay tuned
 
Mtumie majina yako....address yako.....namba yako ya simu....mkoa uliopo....pamoja na zip code vingine hivo mzungu wako atajiongeza mwenyewe.
 
Samahani kwa kutoka nje ya mada, lakini ningependa kuongea ukweli kuwa UKRISTO SIO DINI YA HAKI, NDOMANA WAKRISTO WOOTE WAMELAANIWA, UKIWAANGALIA WAKRISTO WENGI USONI WANA SURA MBAYA KA MATAKO,
na ili uendelee kuwachukia zaidi mpate bwana wa kikristo,
 
Samahani kwa kutoka nje ya mada, lakini ningependa kuongea ukweli kuwa UKRISTO SIO DINI YA HAKI, NDOMANA WAKRISTO WOOTE WAMELAANIWA, UKIWAANGALIA WAKRISTO WENGI USONI WANA SURA MBAYA KA MATAKO,
hata FaizaFoxy hajawahi kututusi hivi, ningekua mod ningekuzawadia kama ile ya The bold -miezi 4
 
Tuma majina yako kamili yanavyoonyesha kwenye passport/kitambulisho cha mpiga kura, anuani yako na makazi unapoishi Namba yako ya simu.
Na asisahau account numbers na passwords zake......Kuna watu hawajitambui eti "Mzungu wangu"
 
Mkuu hill no tapeli la Kinigeria hakuna cha mzungu hapo
Utapeli wa kizamani huo tena unaweza kukuta mtu mwenyewe aakaa Tandake

Ukituma detail zako anaHACK akaunti zako za benki au social media na kuiba au kuzitumia kutapelia wengine
swali lipo moja ..ana hela kwenye hizo account??lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom