Mzungu kacharuka kuombwa michango huko ubalozini

Kwanza haijaandikwa na mtu ambaye English ni first language kwake kuna grammatical errors kadhaa.

As much as sipendi huu utamaduni wa kuchangiana hasa kwenye harusi ila huwa nachanga pale napojisikia kuchanga. Ni utamaduni. Ni kazi sana kubadilisha tamaduni ya mtu kama imezoeleka. Tanzania bado ni nchi ya ujamaa na kusaidiana ni jadi yetu ubaya tu ni kwamba tunasaidia kwenye mambo yasiyo ya msingi ila yale ya msingi hatuchangi. Leo ukiomba pesa upeleke Mtoto shule hamna mtu atatoa, au mgonjwa yupo hospitali watu hawachangi ila akifariki wanachanga misibani. Ingependeza kama tungeredirect michango yetu
 
Kwanza haijaandikwa na mtu ambaye English ni first language kwake kuna grammatical errors kadhaa.

As much as sipendi huu utamaduni wa kuchangiana hasa kwenye harusi ila huwa nachanga pale napojisikia kuchanga. Ni utamaduni. Ni kazi sana kubadilisha tamaduni ya mtu kama imezoeleka. Tanzania bado ni nchi ya ujamaa na kusaidiana ni jadi yetu ubaya tu ni kwamba tunasaidia kwenye mambo yasiyo ya msingi ila yale ya msingi hatuchangi. Leo ukiomba pesa upeleke Mtoto shule hamna mtu atatoa, au mgonjwa yupo hospitali watu hawachangi ila akifariki wanachanga misibani. Ingependeza kama tungeredirect michango yetu
Huyu ni Mkenya fulan tu
...pulse for a photo....akimaanisha pose for a photo!
.....country' men......akimaanisha countrymen
......a hand full of....akimaanisha a handful of
 
Kuna mshikaji tunasoma naye chuo sasa ameamua kuoa halafu anaomba mchango Wa harusi kwetu wanafunzi tumchangie, watu wameahidi sasa kwa unafiki nikaahid elfu ishirini watu wote wametoa nimebaki Mimi na sitoi hata senti kwa sababu huu ni ujinga sana, mwaka jana
 
Kweli, mtu unapewa kadi kama tano hivi halafu wanakwambia single 50,000 double 100,000 usipochanga watu wanakununia.

Tubadirike aisee Mzungu kaandika point mwanzo mwisho.

Mshahara laki saba unataka kufanya harusi ya milioni 20.

Mtoto anapata kipaimara mnaanza kusumbua watu na kadi za michango ya Elfu 50. (Mbona zamani kwenye vipaimara sherehe tulikuwa tunafanyia sebureni tu).

Tubadirike, Mtu akitaka kufanya sherehe kubwa akakope CRDB watu tushachoka na michango.


Kuna mshikaji tunasoma naye chuo sasa ameamua kuoa halafu anaomba mchango Wa harusi kwetu wanafunzi tumchangie, watu wameahidi sasa kwa unafiki nikaahid elfu ishirini watu wote wametoa nimebaki Mimi na sitoi hata senti kwa sababu huu ni ujinga sana, mwaka jana tena kuna mshikaji hapahapa kaniomba elfu arobaini na wakaniweka kwenye kamati ya harusi bila kunishirikisha hawakuniona hata siku moja kwenye kikao.
 
Bora mtu kaamua kuandika huu upuuzi.
Watanzania tunajidai sana na culture yetu ila ni mbaya balaa, ukweli hamna cha kujidai nacho hata kimoja, michango kubao, mtu akivaa nguo fupi tyr mnataka mumvue hadharani, upuuzi mtupu
 
Duh hii ni modern ombaomba mpaka ubalozini, maofisini tusiwacheke wale ombaomba wa barabarani wakati tunao wengine maofisini halafu kasahau kuna hawa ombaomba wa vocha utasikia baby naomba niushie vocha ya buku nijiunge na bando la halichachi.....
JAZA UJAZWE
 
Mzungu kaongea ila wao wanaspend hela kobao kwa mambo ya kipuuzi kama kufurahiza wazazi wa mke n.k pili hao jeuri yao iko kwenye insurance hawahitaji mtu wala ndugu utakuta mtoto anakaa na mzazi wake wanachangia kodi, ukizeeka unapelekwa kituo cha wazee. Kwetu ndugu hata huyo usiyeweza kutaja direct mnauhusiano gani ndo mtaji wako ukikwama kwa kila hali do atuache tupigike
 
Huyu ni mzungu kweli au mtanzania aliyekaa nje ya nchi au wa hapa hapa ndani ameamua kutapika nyongo kwa lugha ya malkia ili hasijulikane?
Vyovyote vile mkuu, lakini huo ndo ukweli wenyewe!!!!! Wabongo tumezidi, na hasa wanawake hupendi sana mambo ya sherehe kubwa kubwa... Inakera sana aisee.......
 
Sipendi sana issue ya michango michangi aisee, ukileta kadi huwa naweka kwenye droo. Huu utamaduni kweli watanzania unatuaibisha saaaaana! Mie mahari na harusi yote ilikuwa kwangu, na nilienda kijijini kwa wazazi kufanyia huko nikaachana na ulimbukeni wa watu kwao nguruka wanaenda kufanyia harusi Dar, kisa Dar kuna shangazi yake!
Hai nguruka karibu mbona wwngine wanatoka Titye, au Muhunga huko..harusi inafanyika Dar...
 
Back
Top Bottom