Mzungu kacharuka kuombwa michango huko ubalozini

Huyu ni mzungu kweli au mtanzania aliyekaa nje ya nchi au wa hapa hapa ndani ameamua kutapika nyongo kwa lugha ya malkia ili hasijulikane?
Huyo itakuwa ni wa Western Africa. Ilo neno "this is too much, please stop" linafanana na English yao
 
Huyu ni mzungu kweli au mtanzania aliyekaa nje ya nchi au wa hapa hapa ndani ameamua kutapika nyongo kwa lugha ya malkia ili hasijulikane?
Nahisi hivyo hivyo, sio mzungu wala nini, ni mTz mwenzetu huyu.
 
Truth hurts... All are true... People are taking advantage and misusing the privilege of being contributed in events...

Why on earth would you want to be contributed for your son/daughter kindergarten graduation party? Doesn't make sense...

Why on earth would you give a wedding contribution card to people who have never heard about the couples... Its annoying...

Ceremony contributions are not prohibited but at least send or give people to contribute for a reason...

Don't just seat at the wedding committee and agreeing getting cards, hoping people to contribute because only you know them...

If its you getting married or marrying or your daughter/son its fine.. But not to people i know nothing about...



Cc: mahondaw
Talking about direct translation....what the hell is 'being contributed...'to be contributed....?
 
Kasema ukweli kabisa, mi kuna mtu hanisalimii kisa sikuchanga kwenye harus ya mwanae, nikimuanza mm anajidai hajasikia nimeamua kuachana nae,
Maana nshajiwekea msimamo sichangii harus labda ya ndugu yangu wa karibu sana, tena nitatoa nilichonacho sio nipangiwe
 
Haya nayasema kila siku, huwezi kujiita una mke wakati gharama za kuoa tumekuchangia. Mimi hata mahari mzee wangu hajachanga na ikifika kufunga ndoa kanisani ( maana serikalini tayari) nitafanya tafrija ndogo kwa pesa zangu. Sitaki mke wangu awe wa watu wengi ,michango mpaka tunakimbiana mitaani. Huna uwezo achana na mambo ya gharama.
kumbe wewe umemuelewa??
 
Nimeambulia pale aliposema embassy sijui ndo mambo ya sigara? na ile wedding sijui ndo kamaanisha weed? kizungu jaman mhh!!ntarudi
 
Ndo bado Wa TANZANIA tunaishi katika ujamaa ule wa sisi sote ni ndugu lakini hali halisi na mabadiliko ya maisha tunashindwa kufanya "adjustment" kulingana na hali halisi lkn muda unavyoenda tutalazimishwa tu na muda kuachana na hizi mambo na mengineyo kama ndugu ambao wanaanza maisha kujazana kwa mwenzao mwenye ki unafuu bila utaratibu NK
 
Back
Top Bottom