Mzungu kacharuka kuombwa michango huko ubalozini

Hii ishu ya michango kwa ajili ya sherehe ya masaa kadhaa kweli huwa hainiingiagi akilini. Unawezaje kufanya sherehe ya mil 10 halaf bado unaishi kwenye nyumba ya kupanga?
Nonsense
 
Huyu zungu yupo jf comment za watu sasa.
Kadi ni kwa ajiri ya wale ambao ulishawachangia na marafiki wa karibu basi.
 
Hahahaaaaaaaaaaaa,ila kweli mibongo tumezidi kwa michango hasa ya sherehe isiyokuwa na kichwa wala miguu,kuona uoe wewe uje uwasumbue wengine,huu ni ujuha kwa kweli
 
Hahaha mzungu that's not our culture either
Kweli atoe ya moyoni, hajawahi kwenda hata arusi moja lakini michango kila kukicha haha shame on you guys
 
Kasema kweli kabisa Watanzania tunapenda michango aisee tubadilike,mzungu kachoka
 
Mzungu amenena maneno mazito yenye ukweli.

Eti siku hizi hadi birthday party wanapitisha kadi za michango

Watanzania wanaendekeza ujinga-ujinga, unakuta nafanya kazi ofisi moja na mtu, na huwa tunatazamana tu kama makondoo hatusalimiani full mikausho alafu siku send off yake ikikaribia ndiyo anakusalimia siku ya kwanza ukiitikia tu kesho yake anakuletea kadi ya mchango wa send off yake.

Watanzania tubadilike tuvae kofia zinazotutosha.
Amigo......
Asante sana kwa kututafunia hili lilugha lenyema ze ze mengi.
Hapa sasa namimi naweza changia huu uzi mujarab kabisaaaaa.....
 
Truth hurts... All are true... People are taking advantage and misusing the privilege of being contributed in events...

Why on earth would you want to be contributed for your son/daughter kindergarten graduation party? Doesn't make sense...

Why on earth would you give a wedding contribution card to people who have never heard about the couples... Its annoying...

Ceremony contributions are not prohibited but at least send or give people to contribute for a reason...

Don't just seat at the wedding committee and agreeing getting cards, hoping people to contribute because only you know them...

If its you getting married or marrying or your daughter/son its fine.. But not to people i know nothing about...



Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom