- Thread starter
- #561
Extrovert:
Aache tamaa na akae kwa kutulia kama kweli ana upendo wa kuhamisha mito milima na mabonde. Ingawa pia dada anaonekana ana mizinga ambayo ipo indirect saaana.
mko bitter balaa
Extrovert:
Aache tamaa na akae kwa kutulia kama kweli ana upendo wa kuhamisha mito milima na mabonde. Ingawa pia dada anaonekana ana mizinga ambayo ipo indirect saaana.
hii true story wenye tamaa na wanaowaza pesa za wanaume, ikiwemo wewe na wengineo hamuwezi mkaelewa wala kuielewa.
Mpaka siku mtakapofumuliwa marinda na kutolewa kafara, ndipo mtakapoelewa vema.
Kimbisa:mko bitter balaa
Na chuki yao sababu tu kaongelewa mzungu na anatoa pesa. Wanaume wasio na hela wanakuaga na hasira sana kwa wanawake.
Watafute hela waache makasiriko madogo madogo.
Kimbisa:
Ukweli utamuweka uhuru , bado kidogo aende majuu
Ni umaskini tu wa kimwili kiakili na kiroho..yani mtu unanuka umaskini hata ukisikia mwingine anafaidi maisha unatamani hata kumuua, ushahidi kama ulivyosoma comment haswa za wanaume. Tena anayefaidi awe mwanamke na anayemfaidisha na kumpa raha na pesa awe mwanaume mwenzetu..tunatamani tujikite kisu..
aisee kumbe ipoo sasa tunafanyaje sasa!..chura hapa ndio kwao ila sio likubwaaa
tunabanana nae hapa hapa haendi hukoKimbisa:
Ukweli utamuweka uhuru , bado kidogo aende majuu
tunabanana nae hapa hapa haendi huko
Amekufa
aisee kumbe ipoo sasa tunafanyaje sasa!..
Ooh afadhaliAlifufuka mwenzangu.
Maisha ya kujitosheleza yapi ilihali hata usafiri aligundua huna akakutumia nauli uber ya hapa na pale, hunaBro hakuna sehemu nimepeleka mambo faster, halafu sio kila mpenda mzungu ana njaa nina maisha ya kunitosheleza ndio maana sikua na papara nae tangia mwanzo.
Kwa hiyo hutaki kuolewa na sisi Waafrika wenzako???, Yaani unataka kudate na mijitu iliyowasuribisha babu zetu kweli?. Ngoja wakutatue marinda.Habari za leo wanajamvi!
Nimeona nilete hili jambo kwenu labda nitapata msaada wa mawazo na ushauri wenu ili nielewenini nifanye.
Mimi ni binti wa mid 20's km unavyojua kila mtu hua na malengo yake katika maisha basi na ana machaguo yake katika maisha km ambavyo mtu anapendelea mwanamke mwenye shape nzuri, au macho mazuri au sura nzuri, vivyo hivyo baadhi ya mabinti hupenda wanaume warefu mara wenye hela basi mimi ni binti nnaependa kudate na ngozi nyeupe (wazungu) ila si vile vibabu vya kizungu.
Well, km ijulikanavyo huwez kupata kitu km hukifanyii efforts so nilikiunga na dating sites kadhaa katika one of the dating site nikakutana na kijana mmoja wa umri wa miaka 31 kutoka nchini Norway, huyu hakua kijana pekee niliewah kukutana nae ila wengi hawakuonyesha userious so na mm sikutaka kuwa entertain till nilivyoanza kuchat na kijana huyu, mwanzo alionyesha ukawaida km wengine so ckumtilia maanani sana ila ndani ya muda mfupi tu wa kuchat km week1 alionyesha km ana ka userious flan km kujibu txt ontime, kutoomba nudes (picha za utupu), kutaka kunijua kiundani na kufikia maamuzi ya kuomba if I can be his girlfriend of which I accepeted..alipanga aje nchini mwishon wa mwez huu na alishakata flight ya tarehe hizo za mwishon na hii ni only after 2 weeks of knowing each other, well niliona km things are going too fast ila sikuichukulia in negative way sababu mapenzi hayanaga formula.
Week 2 baada ya kua tunachat nae every day nilipata minor accident iliyonipelekea kuvunjika vidole vyangu vitatu vya mguu nikafungwa P.O.P (hogo) nikamtaarifu kua nimeumia na kumtumia picha swali la kwanza ni aliniuliza "Do you have western union?" Nikamjibu sina akaniuliza unaweza kutumia njia gani kupokea heka kutoka abroad nikamwambia ngoja niulize maana kiukweli nilikua sijui ndio one of my friend akaniambia nitumie "Worldremit" baada ya kumtumia hiyo app alishangaa maana hakuwahi kuitumia before ila aliidownload na akawa ananitumia screenshot kila hatua ili aweze kufill details zangu...baada ya dakika km mbili simu yangu ilisoma nimepokea laki7 za kitanzania kutoka kwake nilimshukuru kwa kweli ukizingatia sikumuomba ile hela na wala sikua na wazo hilo..aliniambia zitanisaidia kwa transport fees baada ya kujua sina personal car.
Tukawa tunaendelea kuchat by the time alikua na likizo za sikukuu za Christmas and new year so muda mwingi alikua online, he seems like he is an introvert masna kwenye video call hua ni km aina ya mtu anaeishiwa maongez though ni mchatiji mzuri, aliniuliza nacope vp hali ya kuwa nyumban mda wote wakat niko na ile P.O.P nikamjib kawaida tu sina jinsi inabid nitulie akaniuliza km nchini kwetu tuna Netflix nikamjibu ndio ila sikua na account akanitumia details za his personal account means user name yake na password yake na na akaniambia " do not freak out there is another girl using my account but thats my sister" so tulikua tunatumia hiyo accout mimi, yeye na huyo user mwingine ambae sikufatilia sana kumjua as long as alishaniambia ni dada yake..akanitumia kias kingine nijiunge na unlimited internet ili nisiwe bored.
Tuliendelea kuchat mpk alipomaliza likizo ya kaz na alivyoanza kazi, well mawasiliano yalipungua sio chatting za muda wote ila nilielewa sababu ya ubusy, ila lazima atatuma txt mara tu baada ya kutoka kazini mtachat au kuongea kidogo ndio atalala.
Juzi ndio ulikua mwisho wa mimi kuchati nae na our last conversation..aliniambia anatoka mara moja kutembea sababu amekaa ndan muda mrefu and he asked me how was my leg? Nilimjibu ila text ile haijafunguliwa mpk leo
Txt inadelever ila in grey tick which means haijafunguliwa, his last seen inaonyesha muda ule ule ambao tulichat mara ya mwisho so ni km hajaingia online tena, ila txt zinafika hofu yangu ni kua ya Mungu ni mengi amepata tatizo labda au? Maana siwez kujump kwenye bad conlclusion maybe amepata tatizo ila txt zinadeliver sena hazijafunguliwa tu na hajaingia online...ameamua kuquit mahusiano au? But hatujapishana kwa lolote au ni mimk ndie nina overthink?
His netflix account still works to me here, sijatuma txt nyingi sababu sion point ya kutuma txt wakati za mwanzo hazijajibiwa na hayuko online...je kwa wengine ishawahi watokea kitu km hii? Ina uwezekano akawa yuko busy sana? Isije nikasubiri meli wakati niko airport..Ndio masna nikaja hapa sababu ya ushauri wenu na mitazsmo yenu inaweza nisaidia.
I have developed some feelings for him honest speaking ila ni vyema nikajua niko position gani kwa sasa ili nisipoteze muda na hisia kwa mtu ambae labda si km nimfikiriavyo au nijaribu kumpigia kwa simu ya kawaida?
What do u think I should do guys? Au nisubiri tu nione itakuaje?
Tuendelee kushauri.... 🤣Hahah!
Mkuu mi huwa sijali sana jinsia za watu hapa JF, kwa sababu kinachotokea huku huwa nakiacha huku huku...
Tuendelee kushauri.... 🤣
Maisha ya kujitosheleza yapi ilihali hata usafiri aligundua huna akakutumia nauli uber ya hapa na pale, huna
Maisha mazuri na hapo unasaka mserereko au unataka kunambia unataka kaburi lako liwekwe norway