Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Kupitia michango ya wadau wengi nimeamini watanzania wanachuki kali hasa wanaume,
Tafuteni hela kaka zangu, mkiwa na hela hamuwezi kuumia mkimuona dada yenu anadate na mzungu.
madume dada yamejaa Tanzania hadi baas lol.
Yana wivu hayo msieeew.
 
Maskini yaani mtoto wa kike akizama penzini akili yake nayo inalala
Kaka yake akijaribu kumuamsha anaona anaonewa Wivu 😁😂😂😂
 
Cha kwanza nilichokiona tu kwako una tatizo la njaa kwenye mahusiano sio rahisi kwa mtu wa kawaida kukwambia hilo ila most girls wanaowinda wazungu huwa ni sababu ya njaa tu na si kingine. Cha pili tuliza mshono.

Huyo jamaa atakutafuta tu usioneshe kuwa demanding sana huwa mambo yanaendaga smooth tu!
🤣🤣🤣
 
Unawaza utapata wapi tena laki 7 baada ya kufunga p.o.p ya uongo. Njoo upambane na waswahili tufukunyuane bila mizinga mikali.

Maendeleo hayana chama
Dah mi nadhani huwa nina mawazo tofauti huwa ninaamini kuwa wazungu kufuta marinda ni moja wapo ya ibada yao,naana ni kizazi cha sodoma,By the way marinda ni yake teawashwa nini?.
 
angalia usijetolewa kafara. TRUE STORY Hiyo

Kuna dada pale Mwz alikuwa mwanachuo, kwenye miaka kati ya 2005 hadi 2011 alikutana na jamaa wa kinigeria mtandaoni, wakaelewana vzr tuu, wakapatana kimapenzi, baada ya siku tatu jamaa likamrushia mdada milioni moja na kumuhaidi watakutana maana jamaa naye huwa anatembelea mataifa mbalimbali.

wiki ikawa ndo inamalizikia, jamaa likamtumia tena mdada milioni 2, huku wakiendelea kuwasiliana vzr tuu mpaka mdada wa watu kashangaa na kuona amebahatika, ikabidi awaeleza rafki zake chuoni.

siku jamaa likamtaarifu tyari limefika Mwnz akamwomba mdada wakutane. Basi yule dada kafurahi akijua amepata kumbe nyuma ya pazia kuna mengi. Wakakutana hoteli kali kabisa vyakula na vinywaji kwa wingi vikaagizwa.

Baada ya hapo jamaa likamtaka mdada ampe mechi, mdada kawa anazingua, akamiminiwa pesa tena na kulazimishwa kwanguvu mpaka kakubali. Kuingia chumbani wamefunga mlango, jamaa likavua shati kifua chote kimeoza, kinanuka, funza wanatembea kifuani pa hilo jamaa. Na mdada kupiga yowe akawa hawezi tena.

Mdada akaingiliwa na katafunwa vilivyo. Baada ya hapo akarudi chuoni hana amani. Kakaa siku moja kaanza kuumwa, ikabidi awaeleze wenzake yalotokea, hali ilimbadilikia kabisa ikabidi wazazi wake waitwe, wakati wanamchukua kumuwahisha hospitali wakiwa njiani mdada akaanza kuoza kifua kama lile jamaa huku funza wamemzingira kifuani na harufu. Hata hawakufika hospitali mdada alikata roho, ikabaki historia mpaka leo.

kuweni makini msiwe wepesi wa kumwamini kila mtu. Kama una bahati unayo tuu msiwe na papara.
Tea with no sugar
 
Cha kwanza nilichokiona tu kwako una tatizo la njaa kwenye mahusiano sio rahisi kwa mtu wa kawaida kukwambia hilo ila most girls wanaowinda wazungu huwa ni sababu ya njaa tu na si kingine. Cha pili tuliza mshono.

Huyo jamaa atakutafuta tu usioneshe kuwa demanding sana huwa mambo yanaendaga smooth tu!
Extrovert:

Aache tamaa na akae kwa kutulia kama kweli ana upendo wa kuhamisha mito milima na mabonde. Ingawa pia dada anaonekana ana mizinga ambayo ipo indirect saaana.
 
Kupitia michango ya wadau wengi nimeamini watanzania wanachuki kali hasa wanaume,
Tafuteni hela kaka zangu, mkiwa na hela hamuwezi kuumia mkimuona dada yenu anadate na mzungu.
Na chuki yao sababu tu kaongelewa mzungu na anatoa pesa. Wanaume wasio na hela wanakuaga na hasira sana kwa wanawake.

Watafute hela waache makasiriko madogo madogo.
 
Tea with no sugar
hii true story wenye tamaa na wanaowaza pesa za wanaume, ikiwemo wewe na wengineo hamuwezi mkaelewa wala kuielewa.

Mpaka siku mtakapofumuliwa marinda na kutolewa kafara, ndipo mtakapoelewa vema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom