Mzungu awaita Wakenya nyani mchana kweupe

African race ndio race pekee inayochukiana yenyewe kwa wenyewe.
Mimi ni mtanzania ila watanzania wezangu hivyo si sawa. Binadamu hatakiwi kuwa hivyo.
Hatuna mtanzania kama wewe unatamaani kuwa mtanzania, eti mimi mtanzania unazani utanzania unaupata Kwa kusema tu ? Wewe utabaki kuatu mpaka uweke nida id labda ndio watu watakuelewa
 
Ngedere kabisa. Wanangoja wazungu walime wao ndio washambulie. Kazi kuhemea kwa jirani zao ili kupata chakula. Wanafiki wakubwa
 
African race ndio race pekee inayochukiana yenyewe kwa wenyewe.
Mimi ni mtanzania ila watanzania wezangu hivyo si sawa. Binadamu hatakiwi kuwa hivyo.
Watanzania tuna matatizo fulani. Tunashangilia ndugu zetu wakiumia tuna sahau kuwa Wazungu wanatuweka watu weusi wote duniani katika kundi moja.
 
Watanzania tuna matatizo fulani. Tunashangilia ndugu zetu wakiumia tuna sahau kuwa Wazungu wanatuweka watu weusi wote duniani katika kundi moja.
Wewe huwajui hawa viumbe kabisa..wakenya ni viluwiluwi, ukiona mtu anakuvizia ili achukue hata jina lako akalidalalie ili apate pesa huyo utamwita 'ndugu'.
Wakenya ni kwenda nao mchakamchaka tu hizi lugha laini..sijui ndugu mara rafiki n.k huwa hawazielewi.
Hawa ni nyang'au tu.
 
yani ningezaliwa Kenya palenafikisha umri wa utuuzima najitambua ningeomba kubadilisha uraia, lasivyo ningejiuwa wallah!!!
 
So ukiitwa nyani utabadilika na kuwa monkey?
Waafrika bana,
Izo ni ujinga tu,
Wajinga tu ndio watabishana ujinga kama hizi.
 
Hapa kumejaa kamati za roho chafu kweli, mtuchukie mtupende we will always be on top of you, nyani nyeupe
 
Hawa wakenya si walikataa kuwasapoti afrika kusini kipindi kile wanapambana na ubaguzi wa rangi halafu wanataka walivyoitwa nyani tuwasapoti
 
Back
Top Bottom