Mzungu ajikuta katika mtaro wa maji machafu baada ya kupata ajali ya pikipiki.

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,280
2,000
Raia mmoja wa kigeni amejikuta katika mtaro wa maji machafu yaliyochanganywa kinyesi baada ya kipata ajali ya pikipiki maarufu kama boda boda iliyogongwa na gari ambalo lilitoweka mara baada ya tukio huku akikosa msaada kufuatia harufu mbaya aliyokuwa nayo.

Raia huyo ambaye hakuweza kupata msaada wa huduma ya kwanza kwa wasamalia wema kama ilivyo ada ya Watanzania kabla ya kutangaza donge nono kwa atakayemuosha kumwondolea tope hilo lililochanganyika na kinyesi ili aweze kuelekea kupata huduma ya tiba.

Baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo pamoja kulaumu kukimbia kwa dereva aliwagonga walieleza tabia hiyo kuchagizwa na tabia ya waendesha pikipiki kuwa wamekuwa chanzo cha madereva kutoweka mara baada ya kuwagonga kutokana na tabia yao ya kujichukulia sheria mkononi bara wanapopata ajali kwa inayhusisha magari na wengine kutumia fulsa hiyo kuiba vitu kwenye magari.ITV

Lazima kaonja kinyesi huyu dada

Last edited by a moderator:

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,447
2,000
bado tunawaabudu wazungu?
ingekuwa ni mwafrika kaanguka kwao wala haitangazwi
kwanini tunawapa coverage hawa watu???
 
Makamee

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
2,020
1,250
Kwa jinsi ninavyowajua wazungu hiyo lazima akaitengenezee filamu kama ile ya kula mapanki kule Mwanza.
TUJIANDAE KWA KASHFA
 
VISSION

Member
Nov 29, 2013
32
0
Raia mmoja wa kigeni amejikuta katika mtaro wa maji machafu yaliyochanganywa kinyesi baada ya kipata ajali ya pikipiki maarufu kama boda boda iliyogongwa na gari ambalo lilitoweka mara baada ya tukio huku akikosa msaada kufuatia harufu mbaya aliyokuwa nayo.

Raia huyo ambaye hakuweza kupata msaada wa huduma ya kwanza kwa wasamalia wema kama ilivyo ada ya Watanzania kabla ya kutangaza donge nono kwa atakayemuosha kumwondolea tope hilo lililochanganyika na kinyesi ili aweze kuelekea kupata huduma ya tiba.

Baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo pamoja kulaumu kukimbia kwa dereva aliwagonga walieleza tabia hiyo kuchagizwa na tabia ya waendesha pikipiki kuwa wamekuwa chanzo cha madereva kutoweka mara baada ya kuwagonga kutokana na tabia yao ya kujichukulia sheria mkononi bara wanapopata ajali kwa inayhusisha magari na wengine kutumia fulsa hiyo kuiba vitu kwenye magari.ITV

picha tafadhali
 
kmdh

JF-Expert Member
May 19, 2010
504
0
Lazima kaonja kinyesi huyu dada

Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom