Hili tukio limetokea wiki mbili zilizopita mkoani Arusha,.....kijana mmoja chokoraa,kama watu wengi walivyozoea kuwaita alikua anapewa matunzo yote na huyo mzungu.hata mzungu pindi yupo ulay alikua akimtumia hela na vitu vingine vingi tu.siku ya siku imewadia,mzungu kampigia jamaa simu kua nakuja uje unipokee uwanja wa ndege.jamaa kweli kajipanga kachukua tax uwanja wa ndege alakini akiwa ameandamana na rafiki yake .
Kufika KIA (kilimanjaro international airport) mzungu kashuka na mijizawadi kibao.afari ikaanza kuelekea mjini,walipofika mitaa ya kwa mrefu dereva tax akaambiwa abadili muelekeo,yaani wakaacha main road ya kuja mjini wakaingia migombani alakini ni njia inayoingia kwenye nyumba za watu na pia kuna mahoteli pia along hiyo njia.dereva tax mara akaona kama kuna hali isiyo ya kawaida huko nyuma walipo abiria wake.kugeuka akasikia mzungu anawaambia hao jamaa why are u want to kill me??...
Dereva kugeuka nyuma akanyooshewa sime na kuamriwa atulie na afuate maelekezo tofauti na hivyo nae angedhuriwa
basi jamaa wakaendelea na kazi yao ya kumchinja mzungu.walipomaliza wakamuamuru dereva aelekee njia iendayo kwa morombo,ni nje ya njini alakini ni sehemu iliyo na watu wengi sana waliojikomboa kwa kujenge nyumba zao japo ndio vile tena,miundo mbinu hakuna kabisa.
Walipofka huko kwa morombo wachimba shimo na kumfukia huyo dada wa kizungu kwa jina anaitwa SUZAN anatoka USA.basi jamaa wachukua vitu vyote na kumuamuru yule dereva tax awapeleke gheto wanakoishi.baada ya dereva kuwashusha ilikua usiku mnene,dereva akawa na subira mpaka asubuhi akaenda kutoa taarifa polisi.
Chaajabu jamaa bado wakawa ndani wanaendelea na shuguli zao ingawa haijulikani ni nini walichokua wakifanya.
Askari waligonga mlango na jamaa walipoona ni maaskari mmoja wao alifanikiwa kukimbia alakini yule mtuhumiwa namba moja yupo magereza kwa sasa.
Inasikitisha sana sasa sijui ndio tuseme kua kila kifo kina sababu ,au ndio ile wanasema hujui utajafia wapi au kifo cha namna gani.so sad.