Mzumbe university

Kifulambute

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,539
755
Jamani hivi mzumbe wanaona sisi huku Arusha hatuwezi soma hivyo vyuo vyao...tunahitaji masters za evening hapa Arusha jamani tunateseka na project management...kwa nini hawafungui tawi bwana
 
Oky tutafikisHa ujumbe Harafu tutatoa feedback,ila nafikiri mwanza,tanga,kuna centre .
 
Jaman arusha wanaiona kama kuna watapelitapeli tu sijui? Aaaghy SAUT nao wamefungua hawatoi masters sijui wanaogopa nini..mbona wakusoma tupo jmn
 
Jamani hivi mzumbe wanaona sisi huku Arusha hatuwezi soma hivyo vyuo vyao...tunahitaji masters za evening hapa Arusha jamani tunateseka na project management...kwa nini hawafungui tawi bwana

delivered ....!
 
Back
Top Bottom