Mzumbe university wako sahihi kwa vigezo vya kudahiliwa shahada ya uzamili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzumbe university wako sahihi kwa vigezo vya kudahiliwa shahada ya uzamili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mnozya, Apr 16, 2009.

 1. m

  mnozya JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  --------------------------------------------------------------------------------

  Quote: FairPlayer
  Kwesa;

  Mzumbe University inawachukua hata fresh graduate wa Advanced Diploma kuanza Masters.

  Hilo halina ubishi. Mbwambo anaendesha shule ya Dar ki biashara sana kuliko kitaaluma. Kuna vijana kibao wamemaliza mwaka jana Advanced diploma na wengine degree wanachukua masters pale. Unamaliza advanced diploama July October unaanza Masters!. Only in Mzumbe University.

  Ubabaishaji mtupu

  FP


  Wakuu leo nilipata nafasi ya kujimwaga hapa jamvini ili nipate mawili matatu ya huko nyumbani. Kama nilivyopata toa angilizo wakati najiunga kuwa tujitahidi kuwa tunatoa michango ambayo imejitosheleza (yenye tafiti) kama tujuavyo "BILA UTAFITI HUNA HAKI YA KUSEMA" Na hiyo ni njia pekee ya kuipa JF ladha kama ilivyopata jipatia umaarufu hapo awali mfano juu ya MA - EPA.

  Nimenukuu comment hiyo hapo juu ya Advanced Diploma na First degree. Nadhani mchangiaji kabla kupost angefanya utafiti mdogo ambao ni very formal then angechangia vitu halisi siyo vitu vya KUSADIKIKA NA KUFIKIRIKA. Ieleweke ninaye changia nina hiyo shahada hivyo namwelimisha in a good faith.

  1. Advanced Diploma (acha za kariakoo) inatambulika na ni kigezo cha kuingilia masters provided that imekuwa acredited na mamlaka husika mfano kuna rafiki yangu amepata udahili wa Masters Bradford University (UK) ambaco ni miongoni mwa vyuo vichache sana kama sijasahau ni miongoni mwa vyuo 3 ambavyo benki ya dunia inapeleka wanafunzi inaowafadhili miongoni mwa vyuo vikuu vya UK. Pia nina mifano ya vyuo vikuu vingi makini vya UK vinavyo accept Advanced Diploma.

  2. katika vyuo vikuu vyote vya nchi za Scandnavia vinatambua Advanced Diploma kama sifa ya kuingilia Masters.

  3. Zipo proffessional bodies mbalimbali mfano UK ni ABE inatoa Advanced Diploma ambayo inatambuliwa na vyuo vikuu mbalimbali ndani na nje ya UK as a qualification ya udahili wa masters degree.

  4. Hayati baba wa Taifa mwalimu Nyerere alihitimu shahada ya ualimu Makerere University na kwa kutumia hiyo alidahiliwa Edinburg University kwa ajili ya Masters degree hapo mtoa mada anaweza akanipa ufafanuzi wa vigezo vilivyotumika? Hiyo ni changamoto.

  5. Ifahamike Advanced Diploma ni equivalent to first digree kama ilivyo Doctrate of Business Administration (DBA) ilivyo EQUIVALENT na Doctorate of Philosophy (Phd)

  Nahitimisha kwa kusema kuwa iwe ni Mzumbe University, SAUT au chuo kikuu kiwacho chote kipokeacho Advanced Diploma graduates HAVIJAKOSEA. provided that ni Advanced Diploma zilizopata ridhaa na mamlaka husika mfano KWA TANZANIA ADVANCED DIPLOMA INAYOTAMBULIKA NI ILE YA MIAKA 3. Hivyo mzumbe University hawaendeshi chuo kibiashara..

  More koments PLIZ?, Nawahi boxing wananchi.
   
 2. M

  Magezi JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Advanced diploma holder ni sawa kuingia masters ili mradi tu iwe ni kutoka chuo makini. Kwa TZ tuna advanced diplomas za CBE, IFM, DIT(sijui kama bado wanatoa), MIT(Mbeya), DSA, n.k. hawa wote wanafaa kuingia masters na wantesa sana (siyo wote).

  Kwa hiyo Mzumbe big up...somesheni watu tu tunataka wananchi wapate elimu ukilitimba wa UDSM umepitwa na wakati, walikuwa wanasema eti ukiwa na FTC basi hutakiwi kuingia UDSM kumbe ulikuwa upum.bafu tu wa akina Masuha.
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Ni aibu ila ni kweli standard elimu ya Juu Tz inakwenda chini tena kwa kasi ya ajabu????????
   
 4. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mkuu sentenso yako sijaielewa..unaulzia swali au tungo ya kawaida tu?
   
 5. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Yo Yo,

  Mchango wako???

  yaani kaazi kweli2!
   
Loading...