mzumbe University kugoma saa hizi mlikuwa wapi?


Mushobozi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2007
Messages
542
Likes
20
Points
35

Mushobozi

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2007
542 20 35
ninasikia eti kuna fukutu la mgomo pale mzumbe university. kadiri ya gazeti la mwananchi la mwezi huu jumatatu ya wiki hii.

mambo yanayodaiwa ni kupanda kwa ghalama ya malazi kutoka sh. 250 mpaka 500, kutozwa ela ya matibabu na caution money.

nikiangalia matatizo haya kwa makini yanafanana na yale ya vyuo vingine vilivyolazimika kugoma mpaka mambo hayo yakarekebishwa.

na kipindi hicho, mzumbe inasemekana ni chuo pekee cha umma ambacho akikugoma. je hawakuweza kuforesee kuwa hii ingewatokea wakiwa peke yao, je waliamini kuwa diplomacy ni njia pekee ya kutatua matatizo hata kama wahusika wameweka pamba masikioni? au la!

au labda huyu VC mpya ameweza kutudhibitishia kuwa amekuja na njia mpya ya kuwafumbua watu macho.

mzumbe University students wanasifika kwa kufanya mambo yao vizuri ila kwa hili mmetuangusha.

amkeni jiamini huu ni muda wa kufanya marekebisho katika kutatua matatizo yenu la sivyo mtaaibisha proffessions zenu nyeti.
 

Forum statistics

Threads 1,205,039
Members 457,677
Posts 28,180,303