Mzumbe University customer care ni zaidi ya vyuo vingine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzumbe University customer care ni zaidi ya vyuo vingine

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ng`wanakidiku, Dec 28, 2011.

 1. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa waliopata kusoma Mzumbe nadhani watakubaliana na mimi kuwa Mzumbe University wanawajali wanafunzi wake zaidi. Kwa list kamili na vyuo vingine labda inaweza kuwa kama ifuatavyo,
  1. Mzumbe University
  2. Muccobs
  3. SAUT
  4. .....
  5. .....
   
 2. M

  MBONILE New Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It is possible. Vyuo haviwezi kulingana by any standard
   
 3. K

  Kikomelo Senior Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  sasa wewe customer care ya vyuo vingine umeijuaje wakati ulisoma mzumbe? mambo mengine msiyalete hapa bwana!

  Najuta kucomment kwenye hii kitu yako!
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Are you a visiting Professor?
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,266
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Ng`wanakidiku

  26th December 2011 23:14
  #1 [​IMG]
  [​IMG] JF Senior Expert Member Array


  Join Date : 18th April 2009
  Posts : 256
  Rep Power : 392  [h=2][​IMG] Dr Nchimbi apeta!!!!![/h] Naona Mh. Dr Emmanuel Nchimbi katoa heri ya mwaka mpya na wadau woote wamempongeza tofauti na viongozi wengine wa CCM ambapo huweza kushushuliwa live, ila kwa huyu mh. watu almost wamemfagilia! Inapendeza!
  Emmanuel John Nchimbi
  Rafiki zangu wa FB
  Rafiki zangu wa FB
  Tunapokaribia mwisho wa mwaka huu wa 2011, naomba nitumie nafasi hii kuwashukuru kwa dhati kwa kunivumilia kwa kutopatikana kila nilipohitajika ndani ya FB. Naomba mtambue kuwa nawathamini sana. Nawashukuru kwa michango mbalimbali ya mawazo ambayo mmekuwa mkinipa. Lazima nikiri kuwa mmekuwa watu wa msaada mkubwa katika majukumu yangu ya kila siku. Vilevile, nawashukuru kwa salaam za kunitakia kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu. Nilipata salaam zaidi ya 3000 na naomba nibainishe kuwa deni hili halilipiki lakini tafadhali nimuombe kila mmoja wenu apokee shukurani zangu za dhati kabisa.
  KIPEKEE POKEENI SALAAM ZANGU ZA KHERI YA MWAKA MPYA, MWENYEZI MUNGU AWEKE MKONO WAKE KATIKA KILA JITIHADA MTAKAYOIFANYA KATIKA KUBORESHA MAISHA YENU NA MAENDELEO YA TAIFA LETU.
  Nitaendelea kufanya kazi kwa juhudi ili nisiwaangushe ninyi Rafiki zangu na watanzania wenzetu wote popote walipo.
   
 6. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  customer care kwa wanafunzi ni kitu gani,unaonekana bado usingizi haujakuisha.
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,266
  Trophy Points: 280
  Unajuwa hizi pombe za bure wanazonunuliwa vijana wenzetu zinawaondowa hadi uwezo wa kumiliki akili zao wenyewe, Yaani kisa Emanuel Nchimbi Phd yake alioianza kwa utapeli ameipatia hapo Mzumbe basi msubili sifa za marehemu kwa chuo hicho.
   
 8. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Malinganisho ni kutoka kwa rafiki zangu waliosoma hivyo vyuo!!
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Wale wale vilaza.
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,266
  Trophy Points: 280
  Mbona unazidi kujichanganya!! hueleweki unataka kuongea nini! malinganisho ya wapi? ni wapi kulikuwa na competition hiyo iliyokuwa inashindanisha hizo department? hivi na wewe una elimu ya chuo kikuu? kama jibu ni ndio basi tumeliwa na siwezi kushangaa nchi kuwa shaghalabaghala hivi kama tunazalisha wasomi wa kariba yako.
   
 11. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 801
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Nilitaka kushangaa Dean wa Milembe university ukose kuchangia kitu.
   
 12. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watu waliosota UDSM utawafahamu tu. Hapa tunaongelea ukaribu wa lecturers na students
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,266
  Trophy Points: 280
  Ukaribu huo kwa usomi wako ndio unaitwa customer care!!?
  Halafu by the way mimi sijasota UDSM, mimi ni form four Graduate.
   
 14. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  customer care ya chuo inajumuisha pamoja na ubora wa elimu, je Mzumbe pia inatoa elimu bora?
   
 15. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Bora bongo, sijui mliopo bongo mnaonaje? Huku majuu jamaa wanaagalia vitu vingi sana ili kitu kiitwe bora, hapa customer care ni jinsi ambavyo wahadhili wanavyo wakarimu wanafunzi yaani si ubabe ubabe kama UDSM ambapo juzi juzi wamefukuza watoto wa wakulima zaidi ya 40, sasa hapo kuna kujali maisha ya mtanzania?
   
 16. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  na me ningeshangaa VC wa hapo milembe university kama ucngechangia post yangu!
   
 17. n

  ngwini JF-Expert Member

  #17
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hv mzumbe ni chuo! Hakuna kama Baba wa vyuo aka state university! Ni furaha kwangu kupita pale.
   
 18. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jambo lipi ulilifurahia ukiwa Mzumbe University?
   
 19. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Unasema labda inaweza ikawa lakini huna uhakika
   
 20. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #20
  Dec 29, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kaulize waajiri na TCU
   
Loading...