Mzumbe na SUA Morogoro wa miaka yà 90-2000 mnamkumbuka Shayo Bichwa?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Kwa waliosoma Mzumbe na SUA miaka ya nyuma watakuwa wanamjua huyu jamaa chek-bob.

Wajihi wake
Mrefu
Mweupe
Bichwa kubwa Sana lenye kipara
Miwani juu ya kichwa
Jinsi muda wote
Makalio makubwa

Huyu jamaa alikuwa ànapatikana kwenye Bar za Morogoro Mjini 24/7.

Alikuwa mishen town na mtoto wa mjini haswaa Mchaga yule.

Inasemekana ndio alikuwa anawaandikia au kuwasahihishia tasnifu zao Wanachuo wa SUAa na mzumbe miaka hiyo kwa kuwapiga pesa ndefu.

Mchaga yule Masaa yote anakula vyombo ila akili ilikuwa mukubwa Sana.

R.I.P shayo bichwa..!
 
Back
Top Bottom