Mzumbe mwaka wa pili waamua kugoma usiku.

menyidyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2010
1,339
194
hoja ni bumu. wakaenda kumkurupua rais wa chuo atoe maelezo nn sababu ya bumu kuchelewa kwa ajili ya mwaka wa pili? ilikuwa ni saa nne kasoro usiku huu. haya sasa kumbe na mzumbe wanagoma. ushawahi kuona samaki akirudi rivasi? bado. any way true hilo limetokea leo mzumbe.
 
Huo mgomo wa "USIKU" bado unaendelea?
 
Back
Top Bottom