Mzumbe admission kwa mba 2012/13 mazingira ya rushwa yanaandaliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzumbe admission kwa mba 2012/13 mazingira ya rushwa yanaandaliwa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by nyasaland, Jun 14, 2012.

 1. nyasaland

  nyasaland Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Jul 3, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mimi ni mmoja wa watu walioomba master pale sasa ninachokiona ni kuwa wanaandaa mazingira ya rushwa kwa sasa wanapigia mtu mmoja mmjo simu sasa nikawa na maswali kidogo inamaana hawazi kuweka kwenye website yao au kutoa kwenye gazeti kama vyuo vingine vinavyofanya ?sikuishia nikapata namba ya huyo anayepigia watu simu wenye admission nikamuliza the same question akasema kuweka kwenye mtandao si kazi yake na nikauliza wewe si unamajina yote niangalizie basi jina akasema si kzi yake mnalionaje hili members
   
 2. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  sijaelewa ulichokiandika
   
 3. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  mie nimemuelewa,ila una haki ya kutomuelewa cz hajanyoosha maelezo....kifupi wanatumia utratibu wa kupigia simu mtummoja mmoja kuchukua barua za admission...badala ya kubandika majina kwenye tovuti kama ilivyozoeleka..
   
 4. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  pole kwa kukosa admission mkuu...hakuna rushwa pale,utakuwa umekosa vigezo.

  Kajaribu kwenye vyuo vya kata au kasafishe vyeti.
   
 5. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Angalia gpa yako mkuu
   
 6. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mbona nasikia kuwa Mzumbe ndio wanaita chuo cha kata au chuo cha kata ndio kipi hasa?
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  swali zuri sana.
   
 8. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  ukiondoa udsm,sua na mzumbe vilivyobaki vyote ni vyuo vya kata..kama ulichosoma wewe.
   
 9. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  we ni zao la chuo cha kata?
   
 10. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  siwezi kubishana na wewe mkuu naona umekosa point ya kuzungumza maana maofisini wanachuo waliomaliza mzumbe hasa ya MBA ya Dar compass wanasema wengi wao hawakidhi vigezo siwezi kusema woote ila ni wengi wao ila wapo ambao wakitoka hapo wanatoka na kitu kweli hayo ni maneno kutoka maofisini mbali mbali na pia huwezi kulinganisha mzumbe na Udsm.

  Mkuu, angalia the best university in africa 2012 udsm ni ya 15 na kairuki ni ya 42 ambavyo ni vyuo viwili tu toka Tanzania mzumbe hata ndani ya 100 bora haipo sasa wewe unaleta hoja ambayo haina msingi.

  Na vile vile hatuangalii kama umesoma hapo mzumbe tunachoangalia what do you deliver to organisation? kama umekalia kutoa comment za namna hiyo ni ishara tosha pamoja na kusoma hapo mzumbe haijakusaidia. kila mtu akiweka cv zake humu si tutakimbizana cha muhimu nini umepata kutoka chuoni na umekitumiaje kwenye jamii.
   
 11. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  acha porojo za kujifariji mkuu...ukiondoa udsm,sua na mzumbe vilivyobaki vyote ni vyuo vya kata,sasa sijui nini kigumu hapa kueleweka.
   
 12. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hata sisi madoctor kumbe tunaosoma muhimbili tupo chuo cha kata na unakuja kuwaona ukiwa unaumwa. makubwa usilolijua ni sawa na usiku wa giza
   
 13. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Ardhi na Muhimbili bado ni Udsm tu...mpaka wakue kwanza .
   
 14. nyasaland

  nyasaland Member

  #14
  Jun 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  vigezo gani nina bachelor plus cpa na three year work experience au kuna vigezo vingine tena pale mzumbe
   
 15. nyasaland

  nyasaland Member

  #15
  Jun 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hamna mkuu GPA imekaa vizuri na nina cpa by the way niliingia choo cha kike ngoja nisubiri udsm maana niliomba
   
 16. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #16
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  UDSM wanatoa lini? Form ya Mzumbe nilichukua lakini sikuirudisha, nilirudisha ya UDSM tu.
   
 17. nyasaland

  nyasaland Member

  #17
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 3, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  udsm bado ila wakitoa ni moja kwa moja net au gazetini ,why haukurudisha?
   
 18. S

  Sina pa kwenda Senior Member

  #18
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
 19. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #19
  Jun 25, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  ata Mzumbe wameendelea kuita watu awamu ya pili..kama hawajakupigia tena basi atakuwa ana matatizo.
   
Loading...