Utamzomeaje wakati amepata ubunge na TAKUKURU hawawezi kumgusa huku akipeta na mamilioni ya rada anayoyaita vijisenti. Yeye ndiye anayetuzomea wabongo na TAKUKURU yetu inayotumia kodi zetu, anatuona Wadanganyika kweli kweli. Na kwa makusudi alijua hatapata uspika ila alikuwa analemga kumchafulia 6. Amefaulu malengo na anatesa mfululizo wala siyo kwa zamu
Anapiga hesabu hata hivyo hesabu zake za nguvu Bro 6 tayari bado kale ka kesi ka mauaji na kale ka vijisenti
Mutu muzima ovyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Chenge kashinda kwa kile alichokitaka kimetimia nadhani wa kuzomewa na kujambishwa ni Marando maana kaukosa uspika kwikwikwikwikwi yaani jamaa walijipa hope asilimia 12 wangeweza kushinda duh hii inabidi iingizwe kwenye kitabu cha rekodi ya dunia. Chako chetu chetu chetu KUB tamu sana lakini hauzidi uspika heheheheheheh