MziziMkavu na Mbuzi Mzee njooni mumsaidie Diamond maana ameshazidiwa.

mhh.. mbona ka lina huyu, jamani huyo mtoto namhusudu... amekuwa na haya tena??? au sio yeye??? wengine sihangaiki...
 
556938_480848391958839_339807872_n.jpg



SAUDARI nipo huku Tanga nakamua alizeti, si unaona chombo hicho.
 
Ila nimemini pesa ni kitu kingine kbs, check miguu ya huyu dimondi,,,,, khaaaaa Kama kuni kavu za miyombo
 
Back
Top Bottom