mathcom JF-Expert Member Oct 13, 2012 1,396 518 Nov 21, 2012 #2 Mbuzi Mzee said: Click to expand... Duh! hivi inaruhusiwa kuchinga ndizi na suti !! au itakuwa rwanda-rundi huko!!!
Mbuzi Mzee said: Click to expand... Duh! hivi inaruhusiwa kuchinga ndizi na suti !! au itakuwa rwanda-rundi huko!!!
W Wandugu Masanja JF-Expert Member Apr 26, 2008 1,549 491 Nov 21, 2012 #4 Huyu anathamini kazi yake anapotoka nyumbani anasema anakwenda kazini hata wewe mteja unaridhika Mbuzi Mzee said: Click to expand...
Huyu anathamini kazi yake anapotoka nyumbani anasema anakwenda kazini hata wewe mteja unaridhika Mbuzi Mzee said: Click to expand...
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Nov 21, 2012 #5 Ndio inavyotakiwa kuheshimu mavazi ya kazi, sio mtu anapiga shoshine halafu mchafuuuuuuuuuuuuuu
marejesho JF-Expert Member Jan 6, 2011 6,635 3,655 Nov 21, 2012 #7 Wow!!Bidhaa utazinunua tu kutokana na usmart wake!!
gfsonwin JF-Expert Member Apr 12, 2012 18,274 20,673 Nov 21, 2012 #8 nimempenda kwakweli. sijui akilinganishwa na makondakta wetu ikoje hii hasa wa mbezi kkoo ama mbezi kawe lol!
nimempenda kwakweli. sijui akilinganishwa na makondakta wetu ikoje hii hasa wa mbezi kkoo ama mbezi kawe lol!
TUKUTUKU JF-Expert Member Sep 14, 2010 11,765 4,033 Nov 21, 2012 #9 Teh teh teh!mzizi mkavu ana ndizi!
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Jun 3, 2011 12,358 6,422 Nov 21, 2012 #11 mathcom said: Duh! hivi inaruhusiwa kuchinga ndizi na suti !! au itakuwa rwanda-rundi huko!!! Click to expand... Mbona Uganda ni kawaida. Unajua sissi watanzania tulizoezwa kuvaa shimo la choo-Cho En Lai- hivyo bado tupo kule kule!
mathcom said: Duh! hivi inaruhusiwa kuchinga ndizi na suti !! au itakuwa rwanda-rundi huko!!! Click to expand... Mbona Uganda ni kawaida. Unajua sissi watanzania tulizoezwa kuvaa shimo la choo-Cho En Lai- hivyo bado tupo kule kule!
Z Zero One Two JF-Expert Member Sep 16, 2007 9,347 3,023 Nov 21, 2012 #12 Job ni Job, izo ni ndizi poli au ndizi mjini?
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,954 93,931 Nov 21, 2012 #13 kwa haraka haraka unaweza kudhani ndio katoka sokoni kununua hizo ndizi na anazipeleka nyumbani...
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,656 68,602 Nov 21, 2012 #14 Haaa MziziMkavu anapenda sana kazi yake yani full suti. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
MERCIFUL JF-Expert Member Oct 17, 2011 2,759 3,033 Nov 21, 2012 #15 Mbuzi Mzee, nashukuru sana kwa hii introduction walau nimepata kufahamu muonekano wake! Inaonekana MziziMkavu ni mtu smart :wink1: Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mbuzi Mzee, nashukuru sana kwa hii introduction walau nimepata kufahamu muonekano wake! Inaonekana MziziMkavu ni mtu smart :wink1:
mwaJ JF-Expert Member Sep 27, 2007 4,074 2,947 Nov 21, 2012 #16 Bahati Risiki said: Yaani anapendeza mpaka basi! Click to expand... Kiukweli kapendeza ila sielewi nini kimenikera. Sijui ni hiyo suit au ni hilo sinia la ndizi.
Bahati Risiki said: Yaani anapendeza mpaka basi! Click to expand... Kiukweli kapendeza ila sielewi nini kimenikera. Sijui ni hiyo suit au ni hilo sinia la ndizi.
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,555 Nov 21, 2012 #17 Mbuzi Mzee said: Click to expand... aiseee hapa akileta chapaa homu watu wanatumbua kirahisi tu..
J Joyceline JF-Expert Member Jan 9, 2009 1,010 166 Nov 21, 2012 #18 Ananipenda kazi yake na kuithamini
2 21DEC2012 Senior Member Oct 25, 2011 116 13 Nov 21, 2012 #20 wafanya biashara ndogondogo na kubwa wa Tanzania tuna la kujifunza.