Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,697
Wanajamvi kuanzia leo sitakaa nipingane tena na neno la Mungu kama zamani,nipo nchini Ghana ktk eneo la uchimbaji mdogo wa dhahabu kwa zaidi ya miezi 4 sasa,hapa kuna jamaa alikuwa na tabia ya kutembea na wake za watu,sasa siku ya leo ktk hii x-mass kakutana na moto live,mwanamke aliyeingia naye chumbani kuzini kumbe ana tego,waliponatana tukasikia kelele na kusogea eneo la tukio,inaonekana mzinzi yule alikuwa analijua neno la Mungu ila aliasi tu,wakati mwanamke anapiga yowe la msaada jamaa alikuwa anaomba toba kwa Mungu huku akitaja mistari ya Biblia,nikamsikia akisema forgive me LORD as according to your words in Exodus 34:7.mara akaanza kukemea akisema,navunja kila nguvu za giza na najinasua na huyu mwanamke kwa jina la Yesu kristo wa Nazaret,napiga nguvu za giza kwa moto wa damu Yesu sawa sawa na Yeremia 51:20-24.Tulibaki tumeshangaa jamaa kuomba kwa imani ikabidi ninukuu vifungu hivi,dk 3 baadae tukamwona kajinasua mbio,wanajamvi nawaletea picha pls mnivumilie nazi download mtandao ukikaa sawa mnaona