Mhe.Chrissant Mzindakaya alipewa mkopo wa Shillingi Bilioni Tisa (9) Ilhali wakulima wametengewa Sh 1.4 Bilioni kwa ajili ya ruzuku ya mifugo. Jamani umaskini utaisha kweli?