Mzindakaya: Wanaovumisha nimekufa ni wapumbavu, bado nina nguvu kama kijana wa miaka 20

Hako kamjamaa ni hatareeeee,, ukitaka kujua ni jinsi gani kako balaa kamwulize Mudhihir Mudhihir yule jamaa wa Mchinga, aliacha mkono barabarani!! Sijui bado yuko hai kweli?
Kweli au ukitaka kujua Jamaa mchawi Balaa kamuulize Kafulila kilichomkuta licha ya yeye pia kutoka kule lakini hana Hamu,baada ya issue ya Escrow Jamaa akawa na kiburi kuwa yeye ndo aliibua mjadala huku ukweli issue yote na ushahidi aliutafuta zito na kumpa jamaa alipue lakini baadae akagoma kumpa heshima yake,weee kajamaa kakamwambia,nilikufundisha siasa na nilikuozesha mke umeleta dharau sasa subiri kati yangu na wewe nani atarudi mjengoni,haaaaa Kweli Jamaa hakurudi Zitto ni mzito sana
 
Mwanasiasa mkongwe wa CCM na aliekuwa mbunge wa Sumbawanga, Chrisant Majiyatanga Mzindakaya akanusha taarifa za mitandaoni kuwa amefariki, asema afya yake ni njema.
Nashukuru kwa taarifa hiyo baba, maana tangu alfajiri nilipoikuta mtandaoni nikapigwa ganzi lakini hadi sasa kila ninayempigia simu swanga anasema hajui.
Wanaokuchimbia shimo wataingia wenyewe. Uwapita ukuchina monsi walutembo.
 
Hako kamjamaa ni hatareeeee,, ukitaka kujua ni jinsi gani kako balaa kamwulize Mudhihir Mudhihir yule jamaa wa Mchinga, aliacha mkono barabarani!! Sijui bado yuko hai kweli?

Nazir Karamagi akapotea, Ben kapotea, Slaa kapotea, Yerico kapauka, Mnyika kawa Inactive, Mzee Malecela akapoteza Ubunge, Mbowe atakuwa Kigagula Mwenzie ndio maana wameona wapatane
 
Huyu mzee hajawahi kuwa mbunge wa Sumbawanga! Ni aliwahi kuwa Mbunge wa kwela,mtoa mada rekebisha content!
 
Mzee wangu huyu kama angekuwa kijijini na hana matibabu ya daraja la kwanza! Nawaza tuu
 
Ha ha ha haaaaaa Mshana ni gwiji na yule si mwenzetu yuko mbali sana,

Zito ni mzito km jina lake, hapana chezea yule jamaa, uchawi wake si wakuvuruga ila ukitaka kumvuruga utakupoteza kweli, kwa sababu hata me sipendi majaribio kwenye suala LA uhai, utapotea

Sina hakika huyu Mzee uchawi wake ni wakuvuruga au kujenga? Na hawa walomzushia kifo ni wachawi wakubwa wavurugaji ambao hawafai na dini zinawapinga na yeyote mpenda maendeleo anapinga uchawi wa aina hii
duh...una fani nyingi
 
Back
Top Bottom