Mzindakaya, Kimiti na Keenja watangaza kutogombea tena

the best solution to our problems ni kuruhusu wagombea binafsi; nina imani kabisa a very good percentage ya wanaCCM safi na wapinzani wasiokubaliana na baadhi ya mambo ya vyama vyao watajitokeza na kuongoza njia

swali litakuja tu pale ambapo chama tawala kitawajumuisha kwenye kuunda serikali!!

- Mkuu hao wagombea binafsi watatoka wapi kama sio sisi vijana na wazee, wale wale tuliolifikisha taifa hapa lilipo?

es!
 
Tuwe waangalifu hapo mkuu, wasije wakaona kuwa fweza zao ndio zimewaweka madarakani, which means wamelinunua Taifa si unajua ukinunua nyumba yako, unaweza ukaamka asubuhi moja umeboreka, basi ukaamua kubadilisha rangi ya ukuta wa jikoni.....ikifikia hapo itakuwa worse than where we are now.

Mkuu Mwazange.....

Hatuna budi kukubali kuwa kuna baadhi ya watu wana uwezo na uwezo wao umetokana na juhudi zao halali............ultimately the bucks (fate of our country) stop with us wananchi.........kuliko hivi sasa kuwaachia wapumbavu/mediocre guys leading our way...........

To have the rules ni one thing and to enforce them is another story........tumeshudia so called "mababa zetu" CCM wanavyotufanya kila kukicha na hakuna sehemu ya wananchi kutokea.....demokrasia yetu imeporwa (kama huamnini hili basi tena.......we have a long way to go......)

Risks za Independent Candidates ni rahisi sana ku-control...unlike wengi wetu tunavyofikiria..........

Utawala wa nchi yetu kw amuda mrefu umeshikiliwa na watu Wabinafsi/Wavivu wa Kufikiri na huwa wanapitishwa/wanapitishana na watu ambao ni too low kutuchagulia viongozi......imagine ile NEC ya CCM watu waliomo mule.......mapaka wamefikia kudanganyia "ELIMU ZAO" ili tu waendelee/wapewe madaraka........na ajabu sana system zetu zimewakubali na kuwapa madaraka..........inauma sana

Hebu check Mfano Mr Sokoine alipoona wasomi akina Mtei wanatoa "bombastic" waliamua kwenda shule seriously.......na mambo yao yali/naonekana........na tunayakumbuka

Check Mh Sumaye....hata kama hatupendi baadhi ya mambo aliyoyafanya...lakini he did "a plausible move" alivyoenda kusoma......alikuwa na uwezo kabisa wa kununua vyeti kama walivyofanya wengine........

Check pia sasa Dr. Magufuli.......my point here is....tuna baadhi ya viongozi ni safi na wanajua wananchi tunahitaji calibre gani ya viongozi.......don't get me wrong though....kuna watu ambao they are born talented to lead with their minumum level of education (very few though)

Check Dr. Salim Ahmed Salim..........et al.....and so on......

.........angalia hawa watu wanavyopigwa danadana na watu kama akina "Dr." Nchimbi "Dr." Mzindakaya et al.............

........NO MAN...we need our democracy back.......

.............kuna mwana JF mmoja hapa alisema wale wagombea Urais walioshindwa lakini walifikisha/pata kura za wananchi........say....500,000....automtaically waingie bungeni.........YES we need these people atleast bungeni.........ni njia nzuri pia ya kuwa-access hawa wagombea Urais kwneye next uchaguzi.......tutawajua wanawajibika vipi at least wakiwa bungeni............

.......Kuna watu wenye uwezo kiuongozi, kuna wenye pesa zao hivi sasa na they have no interest na politics.........

Baba aliyenunua nyumba kwa demokrasia ya kweli....atawajibishwa kwa the same demokrasia........nothing to fear hapo...........
 
- Mkuu hao wagombea binafsi watatoka wapi kama sio sisi vijana na wazee, wale wale tuliolifikisha taifa hapa lilipo?

es!

Watatokea vipi kama hawapewi nafasi Mkuu.....zaidi ndio tutazidi kupata vijana dizaini ya akina Masha, Membe, Nchimbi and we will be doomed forever........

Independent Candidates please!

NOTE: Independent Candidates si lazima wawe vijana pekee...don't get me wrong
 
- Vijana tuliowapa nafasi wameshindwa, na besides nafasi utapewa na nani mkuu uende uitafute mwenyewe,

- Tanzania sasa ni nchi ya kibepari, yale ya kupewa yamepitwa na wakati, nenda uingie kwenye system ugombanie, binafsi siwezi kukosa usingizi wangu kwa visingizio vya independent Candidates kwa sababu hakuna mahali popote Africa kwenye mfano unaowezwa kuwekwa wa kisayansi kwamba Independent Candidates imesaidia kuliendeleza taifa ambalo lilikuwa limezama.

- Kwanza niliambiwa tatizo la taifa langu ni Kambona, halafu nikaambiwa ni Kawawa, baadaye nikaambiwa ni Malecela, halafu nikaambiwa ni Mwinyi, halafu nikaambiwa ninahitaji vyama vingi vya siasa, baadaye nikaambiwa ni Mkapa, halafu nikaambiwa ni Lowassa, sasa yote hayo hayakuwa kweli isipokuwa tatizo langu jipya na hili taifa ni Independent Candidates, pleaaasseeeee!

- Wote ni mediocre tu, hakuna cha vijana wala wazee tatizo ni kwamba hatuna wananchi wenye uwezo wa juu wa uongozi, labda hawajaingia bado kwenye power, au ndio basi tumekwama tu tukubali ukweli badala ya kukaa hapa kudanganyana na kusingizia wazee wasio na kosa lolote!

- Mumewataja wazee wengi kwamba hawafai lakini hakuna mahali hata pamoja mlipowataja vijana wanaofaaa na mifano yao, WHY? I mean kama vijana mnaowalilia ni kina Ndulu na Ngeleja, mimi ninasema afadhali niongozwe na wazee Butiku au Quaresi.

Respect.

FMEs!
 
hata kama kuna baadhi wamechoka kuongozwa na "wazee" naamini lugha ya"vizee" "mizee" nk sio lazima.

Kafara,
Kwani kuna tatizo gani? au umeshasahau kwamba neno "mzee" lina maana nyingi sana bongo...:rolleyes:
 
- Vijana tuliowapa nafasi wameshindwa, na besides nafasi utapewa na nani mkuu uende uitafute mwenyewe,

....binafsi sina shida ya kutafuta nafasi ya uongozi.....majukumu niliyonayo yananitosha.............
.......Nilishasema hapo awali hao vijana unaowasema wamechemsha ukiangalia background zao ndio wale wale.......wamelelewa na mizee yao mediocre...na wakaingia kwenye uongozi ki-mediocre (CCM machine).........Ndio mmetoa nafasi kwa vijana wasiofaa kama akina Ngeleja na Masha....na wengine wako njiani kuingia kundini............still doomed

- Tanzania sasa ni nchi ya kibepari, yale ya kupewa yamepitwa na wakati, nenda uingie kwenye system ugombanie, binafsi siwezi kukosa usingizi wangu kwa visingizio vya independent Candidates kwa sababu hakuna mahali popote Africa kwenye mfano unaowezwa kuwekwa wa kisayansi kwamba Independent Candidates imesaidia kuliendeleza taifa ambalo lilikuwa limezama.

Pia hakuna sehemu yeyopte Africa ambapo hili jambo limefanyika ikaonekana ni hatari kwa demokrasia...........to say the least......

Hakuna anayetaka kukunyima usingizi Mkuu kwa jambo hilo......isipokuwa ninachokisema hapa ni fundamentals za demokrasia........kama hulioni hilo....haininyimi usingiza either......

.....Hili jambo nalifahamu........nimewahi kushiriki kwenye process za uchaguzi sehemu ambazo hili jambo linakuwa practiced.....ninajua ninachokiongea.......

- Kwanza niliambiwa tatizo la taifa langu ni Kambona, halafu nikaambiwa ni Kawawa, baadaye nikaambiwa ni Malecela, halafu nikaambiwa ni Mwinyi, halafu nikaambiwa ninahitaji vyama vingi vya siasa, baadaye nikaambiwa ni Mkapa, halafu nikaambiwa ni Lowassa, sasa yote hayo hayakuwa kweli isipokuwa tatizo langu jipya na hili taifa ni Independent Candidates, pleaaasseeeee!

Anayekueleza inategemea na upeo wake wa kuelewa mambo na ni kwa jinsi gani ulipokea idea hizo........na kuzifanyia kazi.........imekuwa ni hulka ya wengi wetu ku copy/cut and paste........we don't go beyond thinking independently.......ili ku-practice kitu kulingana na mazingira yetu.........no wonder Mkapa na JK leo wana JEURI ya kutuita Watanzania WAVIVU wa KUFIKIRI au WAFUATA UPEPO...............

- Wote ni mediocre tu, hakuna cha vijana wala wazee tatizo ni kwamba hatuna wananchi wenye uwezo wa juu wa uongozi, labda hawajaingia bado kwenye power, au ndio basi tumekwama tu tukubali ukweli badala ya kukaa hapa kudanganyana na kusingizia wazee wasio na kosa lolote!

Yes, hapo nakubaliana na wewe........ndio maana na-suggest namna ya kuondokana na hali hiyo.....kwani system iliyopo inashindwa kuondoa mediocrity................

- Mumewataja wazee wengi kwamba hawafai lakini hakuna mahali hata pamoja mlipowataja vijana wanaofaaa na mifano yao, WHY? I mean kama vijana mnaowalilia ni kina Ndulu na Ngeleja, mimi ninasema afadhali niongozwe na wazee Butiku au Quaresi.

Respect.

FMEs!

watu wanaofaa tunawataja.....na miongoni mwa sehemu ambazo wanatajwa ni kwenye mada uliyoianzisha wewe mwenyewe........which was a very good idea...........zoezi lile ningependa sana liendelee..........kwani linawasaidia sana hata the current vyama vya siasa............

Please hakuna mahala nimewahi kumlilia Ngeleja au Ndulu....wote hawa nimatunda ya Mediocre system iliyopo na ambayo wenine hawaelewi jinsi ya kui-revamp in a positive way.........
 
Kuna wale bado waliopo kwenye usingizi mnono kuamka ni kwa ajili ya kwenda dukani na kubadilisha godoro kwa mantiki yakuongeza usingizi mzuri. Wameshapitia magodoro yote na sasa wapo kwenye water matresses kwa ajili ya usingizi wao tu.

Ni vyema wakaelewa sasa inabidi waamke na kuangalia dunia ikoje. Usishinde tu ndani na kushauriana na baba kwa sababu ana nafasi kwenye jamii ukadhani na wewe unaijua jamii. Kisa unaambiwa nani mbaya; nani mzuri; nani adui wote hao wapo kwenye jumba la makazi ya baba tu hivyo jamii unayoijua wewe ni ndogo mno.

Lakini maadui ya jamii yetu sisi tulioamshwa long time ni mengine kabisa na wanayoyajua wanao badilisha magodoro tu. Mfano siasa mbovu anazofanya baba na jamii yenu ndogo zina tuathiri sisi tushindwe kula vizuri; jinsi mnavyogawa mali zetu ovyo ovyo kwa vijisenti muweze badilisha magodoro sisi tunapoteza asset ambazo zingeweza improve our lives kwa namna moja au nyingine kama zingekua zina wekwa invested kwa fikra ya jamii.

Hivyo usije hapa ukadhani hii ni dunia ya baba na watu wake tu 'hell no' kisa ndio unachojua kwa kuwa unashinda nao na kuzungumza nao. Tanzania ni ya watu 37.5 million imekua ikiongozwa na watu wale wale tangia uhuru wetu. Yaani kwa lugha yenu ni watu ambao wamekua assimilated into politics through the same path.

Sasa personal sioni ajabu wakawa na jeuri kama hao akina Ngenjeli sijui au some JF members ambao huja hapa na kujifanya wao 'machi nowa' kisa wana ongea na viongozi day in day out. Kwenu hao ni viongozi kwetu hawa ni matatizo huamini angalia hali alisi ya umaskini wetu kwani hiyo ndio measurement yetu sisi kwenye jamii.

Hivyo basi kwa ukweli wetu hawa watu wameshakua madarakani long enough na sasa wanaanza kutuletea vijana wenye fikra kama zao. Na tumesha jifunza fikra zao azina matunda yeyote kwetu. H

Hivyo ni bora waondoke vijana wengine wagombee na si wateuliwe au watumwe na raisi. No vijana wagombee na wananchi kupitia sera zao na wachuguliwe kwa mapendekezo ya wananchi na sii kwa mapendekezo ya watu wanaoishi na kupata siasa za nyumbani. Siasa zenyewe zipo kijiweni wao ndio wanakua affected na wanajua ubaya na uzuri unaoletwwa na viongozi waliopo.

Therefore its about time we get rid of idiocy altogether; people thinking they know much about our woes kisa wanapata ushauri kutoka kwa useless non successful politicians

Hivyo it dont make a different that much wawe vijana au wazee waliopo madarakani at the moment cha msingi ni kuwapa new generation a chance; not through their process of assimilation but through true democracy ya watanzania something ambayo walio usingizini hawakielewi.
 
Hii thread nilikuwa nairuka sana kumbe umewashwa moto huku ngoja ikolee kidogo.
 
- Nafikiri hili tatizo la wazazi wa baadhi ya members hapa kuwa viongozi ni kubwa sana kama ni tatizo maana ni wengi sana ambao tunawajua walionufaika na wizi wa wazazi wao wakiwa serikalini na kuja hapa kujifanya hawapendi viongozi wabovu, kumbe baba yako mwenyewe ni mwizi mkubwa sana,

- Sasa anza na baba yako mseme wazi hapa kwamba ni mwizi na ni kijana ameshiriki kuiba Meremeta, na pia Kiwira ameshiriki kuiba na Mkapa, amejaribu ubunge wananchi wakamfukuza na kura yake mwenyewe tu, now hii ndio mifano muhimu tunayohitaji hapa JF kuhusu tofauti ya vijana na wazee na hasa wizi wao! Bwa! ha! ha! ha! ha!
na hasa wazazi wa members hapa ambao baba kama wako ni mwizi period!

- Hapo ndipo utaonyesha jinsi ulivyoamka, pale utakaposema lile baba lako jinsi lilivyo jizi, limeiba Kiwira na limeiba Meremeta, wananchi wakalifukuza kwenye ubunge na ni kijana ndio wameharibu hoja ya vijana kuwa viongozi bora, sasa nenda na baba yako mle hela za wizi wa kodi za wananchi, sisi tunakumbatia wazee kina Butiku na Quaresi, wanaosimama kiume kupinga mjizi iliyokubuhu hata kama ni baba lako kama ni jizi unatakiwa kulisema kwa mtu uliyeamka usingizini, Bwa! ha! ha! ha!

es!
 
....binafsi sina shida ya kutafuta nafasi ya uongozi.....majukumu niliyonayo yananitosha.............

- Kwa hiyo mkuu unategemea kufanyiwa na wengine, nimeona kule kwenye topic ya January ukimrushia mawe sana pamoja na kwamba ni mshikaji wako sana, hapo ndipo ninashangaa na yeye ni kijana, au anatakiwa kijana asiye na jina ndio recipe ya uongozi bora?

.......Nilishasema hapo awali hao vijana unaowasema wamechemsha ukiangalia background zao ndio wale wale.......wamelelewa na mizee yao mediocre...na wakaingia kwenye uongozi ki-mediocre (CCM machine).........Ndio mmetoa nafasi kwa vijana wasiofaa kama akina Ngeleja na Masha....na wengine wako njiani kuingia kundini............still doomed

- Labda ungefafanua japo kidogo, vipi baba yake Ngeleja amewahi kuwa nani kwenye CCM au serikali na wengine wote, kina Kikwete, Lowassa, Rostam, Ndulu na the rest wazazi waow aliwahi kuwa nani kwenye serikali?

Pia hakuna sehemu yeyopte Africa ambapo hili jambo limefanyika ikaonekana ni hatari kwa demokrasia...........to say the least......Hakuna anayetaka kukunyima usingizi Mkuu kwa jambo hilo......isipokuwa ninachokisema hapa ni fundamentals za demokrasia........kama hulioni hilo....haininyimi usingiza either...........Hili jambo nalifahamu........nimewahi kushiriki kwenye process za uchaguzi sehemu ambazo hili jambo linakuwa practiced.....ninajua ninachokiongea.......

- Nimesema hivi wananchi wa Tanzania wamedanganywa sana kuhusu matatizo yao na majibu, sasa ninakuomba tena hebu weka record hapa ni wapi Africa Independent Candidates wamewahi kuwa ndio solution ya uongozi mbovu wa nchi, walipochaguliwa tu wakaleta maendeleo?

Anayekueleza inategemea na upeo wake wa kuelewa mambo na ni kwa jinsi gani ulipokea idea hizo........na kuzifanyia kazi.........imekuwa ni hulka ya wengi wetu ku copy/cut and paste........we don't go beyond thinking independently.......ili ku-practice kitu kulingana na mazingira yetu.........no wonder Mkapa na JK leo wana JEURI ya kutuita Watanzania WAVIVU wa KUFIKIRI au WAFUATA UPEPO......

- Wewe unajua ni nani aliyetuambia wananchi kwamba Kambona, Kawawa na wengineo ndio tatizo letu, lakini hata walipotoka hakuna la maana lililofanyika, ndio maana ninasema hivi tumedanganywa vya kutosha na sasa hatuwezi kuendelea na kulala tena, ya kusema kuna tofauti ya vijana na wazee Tanzania ni nonsense at best, wote wezi na wote ni mediocre uwezo wa kuongoza haupo ila tuna makelele mengi sana na wivu na chuki!

watu wanaofaa tunawataja.....na miongoni mwa sehemu ambazo wanatajwa ni kwenye mada uliyoianzisha wewe mwenyewe........which was a very good idea...........zoezi lile ningependa sana liendelee..........kwani linawasaidia sana hata the current vyama vya siasa............Please hakuna mahala nimewahi kumlilia Ngeleja au Ndulu....wote hawa nimatunda ya Mediocre system iliyopo na ambayo wenine hawaelewi jinsi ya kui-revamp in a positive way........

- Walionekana the best kule kwenye topic yangu ni Dr. Slaa na Magufuli, eti unasema hao ni vijana? Si ndio ninasema ni yale yale maneno mengi ukweli hakuna wala facts, sasa mkuu naomba uwataje vijana wanaofaa kuongoza taifa hili, wataje hapa! na walichofanya kwa taifa hili so far!

- Mimi ninasema hivi nimewaona Butiku na Quaresi wakisimama na kuhesabiwa sasa wakati watu karibu wote wanaogopa, ndio maana nitawapa kura yangu!

Respect.

FMEs!
 
- Mkuu hao wagombea binafsi watatoka wapi kama sio sisi vijana na wazee, wale wale tuliolifikisha taifa hapa lilipo?

es!

Its a million dollar questions sir!! Lakini kwa maoni yangu, we have potential candidates vijana na wazee wanaoshindwa kuingia kwenye siasa za vyama kutokana na "chaos" iliyopo ndani

Once hilo la mgombea binafsi likipita, utaona hiyo exodus kitoka kwenye makapu na kusimama for the right deeds
 
Nimeonna TBC News Saa Mbili usiku huu, wabunge wakongwe wawili, Christant Mzindakaya, (Mzee wa Kupasua Mabomu) na Paul Kimiti, wametangaza kutogombea majimbo yao uchaguzi mkuu ujao.

Wametangaza nia yao hiyo mbele ya PM-Pinda, na kueleza sababu ni kuwapisha vijana.

Wamesema ni vizuri ukaondoka kwenye uongozi wakati bado unapendwa na huku unanguvu zako na sio kusubiri mpaka uchoke hadi watu wako wakuchoke!.

Haya, hawa wazee wawili wameonyesha njia, wezee wengine waliobaki jee wanasubiri nini?

Ushauri wa bure kwa wazee hawa wafuatao. (Wataje).... wakiongozwa na Mheshimiwa sana Mzee......

Tangazeni nia zenu, mmeshajichokea sasa msisubiri mpaka mchokwe!

ni habari njema,however, WAMESOMA ALAMA ZA NYAKATI,ishu sio uzee.........
 
Muungwana alishasema wazee wote watoke nduki kwenye siasa.

Namsubiri mzee Sitta na Mungai manake wote wawili wanacheza kwenye sabini na kitu hivi kwa umri!

Mungai kesha soma alama za nyakati sidhani kama atachukua form na hata akiamua kuchukua safari hii haoni ndani ya Bunge!!
 
- Kwa hiyo mkuu unategemea kufanyiwa na wengine, nimeona kule kwenye topic ya January ukimrushia mawe sana pamoja na kwamba ni mshikaji wako sana, hapo ndipo ninashangaa na yeye ni kijana, au anatakiwa kijana asiye na jina ndio recipe ya uongozi bora?

- Labda ungefafanua japo kidogo, vipi baba yake Ngeleja amewahi kuwa nani kwenye CCM au serikali na wengine wote, kina Kikwete, Lowassa, Rostam, Ndulu na the rest wazazi waow aliwahi kuwa nani kwenye serikali?

Taarifa za kuaminika zanasema kuwa baba yake Jakaya alikuwa LIWALI; kilikuwa cheo kikubwa sana enzi ya mkoloni!!

- Nimesema hivi wananchi wa Tanzania wamedanganywa sana kuhusu matatizo yao na majibu, sasa ninakuomba tena hebu weka record hapa ni wapi Africa Independent Candidates wamewahi kuwa ndio solution ya uongozi mbovu wa nchi, walipochaguliwa tu wakaleta maendeleo?

- Wewe unajua ni nani aliyetuambia wananchi kwamba Kambona, Kawawa na wengineo ndio tatizo letu, lakini hata walipotoka hakuna la maana lililofanyika, ndio maana ninasema hivi tumedanganywa vya kutosha na sasa hatuwezi kuendelea na kulala tena, ya kusema kuna tofauti ya vijana na wazee Tanzania ni nonsense at best, wote wezi na wote ni mediocre uwezo wa kuongoza haupo ila tuna makelele mengi sana na wivu na chuki!

- Walionekana the best kule kwenye topic yangu ni Dr. Slaa na Magufuli, eti unasema hao ni vijana? Si ndio ninasema ni yale yale maneno mengi ukweli hakuna wala facts, sasa mkuu naomba uwataje vijana wanaofaa kuongoza taifa hili, wataje hapa! na walichofanya kwa taifa hili so far!

- Mimi ninasema hivi nimewaona Butiku na Quaresi wakisimama na kuhesabiwa sasa wakati watu karibu wote wanaogopa, ndio maana nitawapa kura yangu!

Respect.

FMEs!

Taarifa za kuaminika zinabaini kuwa baba yake Jakaya alikuwa LIWALI; cheo kikubwa sana katika serikali ya mkoloni!!
 
Inawezekana juu ya muono wako. Hebu leo tuorodheshe wazee woote wamefanya nini tokea uhuru? Au unadhani bado wanauwezo wa kufanya km hawakuwahi kufanya? wanaziweza mbio za teknolojia kuleta maendeleo. Nadhani list itapendeza wakitupisha wale mafisadi na wazee hao. Hata kina Qares waliwagi kufanya nini? Butiku? Warioba?? wengine walikuwa mawaziri wakuu, wanakumbukumbu gani ambayo tutawakumbuka???

Warioba atakumbukwa kwa kumlinda waziri wa miundombinu aliyehusika na kashfa ya kununua kivuko chakavu cha pale ferry!! Yote hiyo aliifanya kwa ile ile dhana ya kulindana anayoiendeleza mkulu kwani waziri huyo husika wakati huo alikuwa pia ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM!! Ufisadi CCM haujaanza na Lowassa bali amekua nao!!
 
- Nchii hii itakombolewa na wawekezaji na wafadhili, sisi wenyewe hakuna cha vijana wala wazee, wote tumeshindwa, sasa imebakia kutpiana mpira na maneno mengi ambayo ni mazuri kwa ajili ya ushabikiwa wa vijiweni na mitaani, lakini sio kwa manufaa ya taifa,

- Tizama sekta zote za taifa zimejaa vijana, ukienda kwenye media hivi huko kuna wazeee mbona wanaandika madudu? Mwanasheria mkuu ni mzee? BOT Ndulu ni mzee? Mahakamani hakuna wazee! Chikawe sio mzee!

- Mtandao wameingia kwa maneno haya haya ya vijana, matokeo yapo wazi na very clear, sasa msituchanganye hapa, Mzindakaya na Kimiti ni Mtandao wanaona wazi kwamba wamem-betray Mwalimu, maana hawa wote wawili walikuwa karibu sana na Mwalimu, wame-support wezi waliokuwa wakijificha nyuma ya vijana,

- Butiku na Quaresi, ni wazee waliokataa ujinga hata kama waliwahi kuufanya huko nyuma, lakini vijana tunaposhindwa kukosoana tena hasa taifa linapokuwa mrama kama lilivyo sasa, wanatokea kina Butiku na Quaresi na kusimama wahesabiwe, basi hawa ndio wenye uchungu na taifa na wapewe nafasi.

- Wazee na vijana wote walioshindwa uongozi wajitoe wenyewe, facts zipo wazi na wanajulikana, wananchi wa majimbo sio wajinga Mzindakaya na Kimiti wamezomewa sana tena mbele ya Rais, kwenye uchaguzi uliopita infact kule kwa Mzindakaya wananchi walimwambia wazi Rais amchukue aondoke naye, na kule kwa Makweta wananchi walimwambia Rais pia aondoke naye, Kimiti naye wananchi walimwambia wazi Rais aondoke naye, sasa sio siri kwamba walipata message na hawana cha kuonyesha anyways.

- Chadema kama sio wazee huko kusimama imara, sasa hivi tungekwua tunaongea mengine maana vijana huko nako ni aibu tupu, sasa wakuu msituchanganye hapa taifa ni letu wote wazeee na vijana, lakini facts kwamba vijana wana uwezo wa uongozi kuliko vijana ziwekeni hapa tuzichambue, tutofautishe Great Thinkers na vijiweni.

-Uwanja wa Great Thinkers, watu hujadili kwa hoja na facts, sasa tuwekeeni hoja na facts hapa, kwamba vijana Tanzania wana uwezo wa kuongoza vizuri kuliko wazee!

Respect.

FMEs!

slow down mister..,huyo Kikwete na Mtandao wake wooote hakuna kijana pale.pale kuna middle aged loosers.na kwa life expectancy ya Tanzania wale wote wako kwenye twilight ya maisha yao,au kwa lugha rahisi ni Wazee.

japan kiongozi mwenye miaka 50 anaweza kujivisha kofia ya ukijana kwa sababu more than 50% y awananchi wake wanaexpect to live past 80 years old.

kwa nchi kama Tanzania yenye life expectancy ya 40 years.its almost an insult kwa "zee la miaka 60" kama kikwete,lowasa etc kujiita vijana.please waheshimiwa tunajua wananchi wengi waliangalia sura zanu na Matabasamu mazito,aka u-handsome katika kuwapa kofia za ujana.BUT age can not be fooled.
 
....Tanzania inabidi tuwe na term limit za miaka minane minane katika elected offices zote yaani udiwani, ubunge, na urais.....

Nadhani hii itasaidia sana kuondoa 'akili mbovu' za baadhi ya wabunge wenye madai ya "kuna mtu kaingilia jimbo langu". I fully support that idea of 10 years tenure in the office!
 
Ni muda muafaka kuwa na bunge maalum la haya mazee..,wakae wabishane humo(wanaolala walalae).

BUT there wont be those 5M a month any more,sans vx's.then budget na maswala mengine ya kimsingi yaamuliwe na wataalam wa sehemu husika.kama ni telecommunications we all know who are the best in the field in TZ,if its health management we know that,if it's finances we know that.

this new assembly of experts will be a better solution to the current heavily polarized parliament.NO dispect to KOMBA,MZINDAKAYA,MAKAMBA,MAKWETA etc but the guys have no idea what the 21st century needs.

we live in the world changing SO FAST it is imposable to keep pace,yet we are being led by guys so slow,diminutive,primitive and so narrow minded that it is a miracle we are even surviving.

hii demokrasia ya kuchagua wazee waliochoka kufanya their daily works kwenda kupumzika dodoma waamue ni vipi mwananchi atapata huduma bora za afya ni ujinga wetu waafrika tu!

kazi nyingi za serikali sasa hivi zinafanyika Idarani,kwenye ground leve.kule juu kumekaa kukwamisha vichache ambavyo kina yakhe huku wanasumbuka kuviweka sawa.

demokrasia tumeshaikosea,we need a modded version of it.hii one suit fits all solution will never work.NEVER.
 
Nadhani hii itasaidia sana kuondoa 'akili mbovu' za baadhi ya wabunge wenye madai ya "kuna mtu kaingilia jimbo langu". I fully support that idea of 10 years tenure in the office!

Tatizo katiba yetu ya kipimbi inahitaji watu walewale wanaotakiwa kupunguziwa power kuamua juu ya punguzo hilo!BULSHIT.

mahakama ya ngedere,na nyani hapo..,mbweha(mwananchi) hana chake!
 
Back
Top Bottom