Malafyale
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 13,813
- 11,126
enzi zile zipi? ninavyofahamu galinoma alikuwa mbunge
kipindi kimoja, kisha uchaguzi uliofuata akapigwa mweleka
na aliyekuwa katibu wa bunge (jina limenitoka) na amerudi bungeni
2005. (kama nimekosea nisahihishwe)
Galinoma huwaanashinda muhula wa miaka 5 then kama tu labda ni sheria Mlawa huwa nae anachukua muhula unaofuatia!
Galinoma na Mlawa huwa wanabadilishana jimbo la Kalenga kila baada ya miaka 5!