Mzindakaya amedhihirisha Rais Magufuli ni nani

Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
4,941
6,187
Kwa wale ambao mmefuatilia hotuba ya Rais Magufuli.Ukweli ni kwamba hotuba ile imebeba mambo mazito na leadership quality za hali ya juu sana.

Leo tumemuona Magufuli wa 2015/16, maana hapa kati alitullia kidogo.

Mzee mkongwe Mzindakaya kaeleza mambo manne moja ikiwa ni kwamba Magufuli ana dhamira ya kweli ya kuleta maandeleo na anasimamia anachokitaka.

Ukweli Rais Magufuli yuko tofauti sana na watu wengi,anajiamini na hataki mchezo.Rais Magufuli ninamuweka kati ya marais tatu bora barani Afrika.

Time will tell wale wasio muelewa watamuelewa tu.
 
Wapo wengi hawamuelewi na ndiyo hao hao wanasema walikuwa kwenye maombi kutaka kiongozi kama ile sanamu ya uwanda wa dura iliyopo kwenye maandiko isiyokuwa na masikio.

Leo kapatikana full kulalamika ooh, tunamkumbuka naniliii, ooh mara grisi kidogo, ooh vyuma...
 
Hivi ukiwa mbele yake unaweza kukosoa kweli zaidi ya kusifia kinafiki?ikumbukwe Mzindakaya kapiga pesa sana za BOT kaifilisi TIB pesa za CIS kazipiga hajalipa hata senti.Kwa nini asisifie?Mzindakaya angeomba afufue kiwanda cha nyama kwa kupata soko na kondolewa vikwazo hapo ningemuelewa
 
Kwani unadhani hao wanaosifia huwa wanapenda kujishughulisha kuwaza haya?
 
Wapo wengi hawamuelewi na ndiyo hao hao wanasema walikuwa kwenye maombi kutaka kiongozi kama ile sanamu ya uwanda wa dura iliyopo kwenye maandiko isiyokuwa na masikio.

Leo kapatikana full kulalamika ooh, tunamkumbuka naniliii, ooh mara grisi kidogo, ooh vyuma...
Huyu raisi akikaa miaka kumi atampita yule babu kwa mambo mengi sana.tungepata maraisi mfululizo kama huyu baada ya JKN tungekuwa hatuongelei barabara na umeme na shule na hospitali tungekuwa tumehaamia hatua nyingine.
 
Hakuna aliyeomba aje mtu ambaye atafanya wanaomaliza vyuo wakose ajira kwa wingi.
 
Hivi ukiwa mbele yake unaweza kukosoa kweli zaidi ya kusifia kinafiki?ikumbukwe Mzindakaya kapiga pesa sana za BOT kaifilisi TIB pesa za CIS kazipiga hajalipa hata senti.Kwa nini asisifie?Mzindakaya angeomba afufue kiwanda cha nyama kwa kupata soko na kondolewa vikwazo hapo ningemuelewa
Kama alipiga hela iweje aombe kiwanda kifufuliwe.Magu anadili na ufisadi alioukuta sio wa enzi hizo.Atafute walioiba posta,rtc,Ushirika,railway nk. sasa si atafanya kazi hiyo tu miaka yote.yeye anadili zaidi na watu wake na ndio maana kataka mkandarasi wa maji huko rukwa achunguzwe na wote waliompa tenda,jana bado unaona hafanyi kazi.Jana kaWaafrika shida sana na ndio maana kila siku wanatumbuliwa hawataki kubadirika.
 
U me andika mini ?
Kwa wale ambao mmefuatilia hotuba ya mh. JPM.Ukweli ni kwamba hotuba ile imebeba mambo mazito na leadership quality za hali ya juu sana.Leo tumemuona Magu wa 2015/16,maana hapa kati alitullia kidogo.Mzee mkongwe mzindakaya kaeleza mambo manne moja ikiwa ni kwamba Magufuli anadhamira ya kweli ya kuleta maandeleo na anasimamia anachokitaka.
ukweli raisi magufuli yuko tofauti sana na watu wengi,anajiamaini na hataki mchezo.Raisi magufuli ninamuweka kati ya maraisi tatu bora barani Afrika,time will tell wale wasio muelewa watamuelewa tu.
 
Team ya kusifu na kuabudu kutoka lumumba FC buku saba unafiki unalipa
tapatalk_1565550282635.jpeg
 
Huyu raisi akikaa miaka kumi atampita yule babu kwa mambo mengi sana.tungepata maraisi mfululizo kama huyu baada ya JKN tungekuwa hatuongelei barabara na umeme na shule na hospitali tungekuwa tumehaamia hatua nyingine.

Tungekuwa hatuongelei hayo kwa kuwa Jamiiforums isingesajiliwa
 
Yaani kwa ujinga wako na mawazo mabovu unadhani kila anaemaliza chuo ni lazima aajirowe na serikali?
nashanga sana ni wapi pameandikwa ukimaliza shule serikali itakuajiri.Serikali kazi yake kuwawekea watu mazingira ya kujiajiri.FALSAFA YA TANZANIA NI YA ELIMU YA KUJITEGEMEA, kama taifa na kwa raia.hivyo magufuli anatekeleza falsafa ya taifa. Kama wewe umeshindwa kujitegemea utakuwa kupe.
 
Hiyo hotuba iliyobeba leadeship quality ni ile ya kuwaambia watu wa Sumbawanga eti ni wachawi! kwa kusababisha daraja kuchelewa kukamilika au kuna nyingine?
 
Huyu raisi akikaa miaka kumi atampita yule babu kwa mambo mengi sana.tungepata maraisi mfululizo kama huyu baada ya JKN tungekuwa hatuongelei barabara na umeme na shule na hospitali tungekuwa tumehaamia hatua nyingine.
Shida yetu ni namna tunavyoachiana vijiti. It was a fatal mistake to allow wana mtandao kuchukua nchi
 
Ngoja mteuzi akatazame kwenye database yake aone wapi palipo wazi pazibwe pengine kuna msifiaji mmoja wajf anaweza kupata uteuzi usiku huu huu
 
huyo Mzindakaya si ndio mchawi maarufu sumbawanga nzima!

Kwa wale ambao mmefuatilia hotuba ya mh. JPM.Ukweli ni kwamba hotuba ile imebeba mambo mazito na leadership quality za hali ya juu sana.
Leo tumemuona Magu wa 2015/16, maana hapa kati alitullia kidogo.
Mzee mkongwe mzindakaya kaeleza mambo manne moja ikiwa ni kwamba Magufuli anadhamira ya kweli ya kuleta maandeleo na anasimamia anachokitaka.
Ukweli rais Magufuli yuko tofauti sana na watu wengi,banajiamaini na hataki mchezo.Raisi magufuli ninamuweka kati ya maraisi tatu bora barani Afrika,time will tell wale wasio muelewa watamuelewa tu.
 
Back
Top Bottom