Mzimu wa kujaribu kumuua Lissu utakaba shingo za watawala miaka yote ya uhai wao, na iko siku watajinyonga

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Mar 26, 2019
2,338
5,263
Nimekaa zangu leo Jumapili baada ya kutoka Kanisani namtafakari Mungu na uweza wake wa ajabu, namtafakari alivyomwokoa Lissu kutoka Kifo na kumponya vidonda vilivyotokana na mateso ya majeraha ya risasi 38 zilizotoboa mwili wake wote...

Kwamba kuna watu na akili zao timamu(in fact wendawazimu), pengine tumewaamini na kuwapa dhamana ya kuongoza serikali walifanya kikao kabisa na Agenda na maazimio ya kikao chao ikawa ni kumwua Lissu???

how is that possible?

Napatwa na hasira lkn namwambia Mungu kwa kuwa yeye ndiye Bwana wa Uzima, sipaswi kuwa na huzuni itakayonipa hasira na mimi kutenda uovu ule waliomtendea Lissu, mimi napaswa kuomba AMANI kwa ajili ya nchi yangu..

Kisasi ni cha Mungu mwenyewe...

Nafahamu shingo za waovu(ambao huenda ni wenye dhamana sasa ya kuongoza serikali) - zitaishi kwa uzito wa kuelemewa na dhambi waliyoitenda ya kumwumiza Lissu, na ninaamini watakufa wengi kwa vifo vya aibu na fedheha Lissu akiwa hai, akiwashuhudia...

Wakati mwingine si rahisi mtu profesa wa chuo kikuu, ama kiongozi mkubwa kujiita kichaa ama kusema kaokotwa jalalani kama si kusumbuliwa na mzimu wa kujaribu kumwaga damu isiyo na hatia!

Mzimu wa kufikiri, kupanga na kutekeleza mpango wa mauaji dhidi ya Lissu uwaandame waovu, na ikiwezekana uwanyonge!
 
Humuonei huruma DJ?
 
Mbona tayari mkuu kuna mtu juzi tu Mungu alimtegeshea Punda mpaka leo kaokoka. Hasikiki tena, anawaza atapona vipi na laana ya mauwaji.
 
Back
Top Bottom