Mzimu wa kujaribu kumuua Lissu utakaba shingo za watawala miaka yote ya uhai wao, na iko siku watajinyonga

"Wakati mwingine si rahisi mtu profesa wa chuo kikuu, ama kiongozi mkubwa kujiita kichaa ama kusema kaokotwa jalalani kama si kusumbuliwa na mzimu wa kujaribu kumwaga damu isiyo na hatia!"

Unataka kusema huyu jamaa naye alikuwepo kwenye hicho kikao ?
Atakosekanaje, amekuwa akila na kunywa mezani mwa mtawala mwuaji tangu siku ya kwanza alipoiba kura na kunyakua madaraka
 
Bado nawashangaa watu wa kizazi hiki jinsi walivyo na imani haba.
Binadamu anamiminiwa risasi 38 na 16 zinaingia mwilini kutokea umbali ambao hauzidi mita 10 na MTU aliyepatwa na hayo anainuka na kutembea tens licha ya kulala kitandani zaidi ya mwaka mmoja kama sio mkono wa Mungu ni nini?
Dawa ya kuwaponya na laana hiyo ni kujitokeza hadharani na kutubu kupanga, kuhusika kwao au kujua na bila kusema tukio hilo.
Hata wale walinzi wa makazi ya viongozi walio ondolewa lindoni waseme nani aliwaambia wasiwe lindoni? La sivyo nao laana inawaangukia
 
Nimekaa zangu leo Jumapili baada ya kutoka Kanisani namtafakari Mungu na uweza wake wa ajabu, namtafakari alivyomwokoa Lissu kutoka Kifo na kumponya vidonda vilivyotokana na mateso ya majeraha ya risasi 38 zilizotoboa mwili wake wote...

Kwamba kuna watu na akili zao timamu(in fact wendawazimu), pengine tumewaamini na kuwapa dhamana ya kuongoza serikali walifanya kikao kabisa na Agenda na maazimio ya kikao chao ikawa ni kumwua Lissu???

how is that possible?

Napatwa na hasira lkn namwambia Mungu kwa kuwa yeye ndiye Bwana wa Uzima, sipaswi kuwa na huzuni itakayonipa hasira na mimi kutenda uovu ule waliomtendea Lissu, mimi napaswa kuomba AMANI kwa ajili ya nchi yangu..

Kisasi ni cha Mungu mwenyewe...

Nafahamu shingo za waovu(ambao huenda ni wenye dhamana sasa ya kuongoza serikali) - zitaishi kwa uzito wa kuelemewa na dhambi waliyoitenda ya kumwumiza Lissu, na ninaamini watakufa wengi kwa vifo vya aibu na fedheha Lissu akiwa hai, akiwashuhudia...

Wakati mwingine si rahisi mtu profesa wa chuo kikuu, ama kiongozi mkubwa kujiita kichaa ama kusema kaokotwa jalalani kama si kusumbuliwa na mzimu wa kujaribu kumwaga damu isiyo na hatia!

Mzimu wa kufikiri, kupanga na kutekeleza mpango wa mauaji dhidi ya Lissu uwaandame waovu, na ikiwezekana uwanyonge!
Amini Usiamini hii kitu Mungu hatawaacha wauaji hawa mpaka awaabishe.Maandiko yanasema kazi ya kulipa kisasi ni ya Mungu Mwenyewe. Bahati nzuri sana ukimuangalia Lussu unaona kabisa hana Mpango wa kulipa kisasi,Amemwachia Mungu.Kwa kitendo cha Mungu kutoruhusu uhai wa Lissu utoke ni wazi hataweza kuwaacha salama wauaji hawa.Kuna Siku mchana kweupe kuna watu wataumbuliwa na Mungu.Tuvute Subira tu.
 
Nimekaa zangu leo Jumapili baada ya kutoka Kanisani namtafakari Mungu na uweza wake wa ajabu, namtafakari alivyomwokoa Lissu kutoka Kifo na kumponya vidonda vilivyotokana na mateso ya majeraha ya risasi 38 zilizotoboa mwili wake wote...

Kwamba kuna watu na akili zao timamu(in fact wendawazimu), pengine tumewaamini na kuwapa dhamana ya kuongoza serikali walifanya kikao kabisa na Agenda na maazimio ya kikao chao ikawa ni kumwua Lissu???

how is that possible?

Napatwa na hasira lkn namwambia Mungu kwa kuwa yeye ndiye Bwana wa Uzima, sipaswi kuwa na huzuni itakayonipa hasira na mimi kutenda uovu ule waliomtendea Lissu, mimi napaswa kuomba AMANI kwa ajili ya nchi yangu..

Kisasi ni cha Mungu mwenyewe...

Nafahamu shingo za waovu(ambao huenda ni wenye dhamana sasa ya kuongoza serikali) - zitaishi kwa uzito wa kuelemewa na dhambi waliyoitenda ya kumwumiza Lissu, na ninaamini watakufa wengi kwa vifo vya aibu na fedheha Lissu akiwa hai, akiwashuhudia...

Wakati mwingine si rahisi mtu profesa wa chuo kikuu, ama kiongozi mkubwa kujiita kichaa ama kusema kaokotwa jalalani kama si kusumbuliwa na mzimu wa kujaribu kumwaga damu isiyo na hatia!

Mzimu wa kufikiri, kupanga na kutekeleza mpango wa mauaji dhidi ya Lissu uwaandame waovu, na ikiwezekana uwanyonge!
Aaamin
 
Ivi kuna nini kumetokea sorry
Hatuoni tu lkn washaanza kunyooshwa, mara RPC kajinyonga, mara rofa jingine linakili kuokotwa jalalani, mara lile libosi la bungeni daily liko India mpaka vidole vyake vya miguu vyote wamevisaga.
Nadhan tuzidi kumuombea sana Lissu pia tuzidi kuomba rahana mbaya ziwafike wote wote waliohusika akiwemo bashite
 
Naona unajipa matumaain ya kijinga.
No one cares wewe na imani zako na miungu yako.

Maswala ya usalama/kijeshi hayana siasa zenu za mungu. Mungu tishianeni huko makanisani sio kwenye mambo yasiohitaji imani za kukaririshwa.
 
Hatuoni tu lkn washaanza kunyooshwa, mara RPC kajinyonga, mara rofa jingine linakili kuokotwa jalalani, mara lile libosi la bungeni daily liko India mpaka vidole vyake vya miguu vyote wamevisaga.
Nadhan tuzidi kumuombea sana Lissu pia tuzidi kuomba rahana mbaya ziwafike wote wote waliohusika akiwemo bashite

Kwa kiwango ambacho amepuunzwa na watanzania bado ni laana tosha lakini bado atainusa hasira ya Mungu kama kweli alihusika kwa namna yoyote ile.

Ieleweke kuwa kila aliyehusika kwa nafasi yake au kwa namna yoyote: Kupanga, kutekeleza, kufurahia na kuzuia misaada na maombi kwa LISSU, wote wote wote kabisa MUNGU atawaadhibu hapa duniani na baadaye kuwatupa jehanam kama hawatatubu uovu huu mkuu
 
Nimekaa zangu leo Jumapili baada ya kutoka Kanisani namtafakari Mungu na uweza wake wa ajabu, namtafakari alivyomwokoa Lissu kutoka Kifo na kumponya vidonda vilivyotokana na mateso ya majeraha ya risasi 38 zilizotoboa mwili wake wote...

Kwamba kuna watu na akili zao timamu(in fact wendawazimu), pengine tumewaamini na kuwapa dhamana ya kuongoza serikali walifanya kikao kabisa na Agenda na maazimio ya kikao chao ikawa ni kumwua Lissu???

how is that possible?

Napatwa na hasira lkn namwambia Mungu kwa kuwa yeye ndiye Bwana wa Uzima, sipaswi kuwa na huzuni itakayonipa hasira na mimi kutenda uovu ule waliomtendea Lissu, mimi napaswa kuomba AMANI kwa ajili ya nchi yangu..

Kisasi ni cha Mungu mwenyewe...

Nafahamu shingo za waovu(ambao huenda ni wenye dhamana sasa ya kuongoza serikali) - zitaishi kwa uzito wa kuelemewa na dhambi waliyoitenda ya kumwumiza Lissu, na ninaamini watakufa wengi kwa vifo vya aibu na fedheha Lissu akiwa hai, akiwashuhudia...

Wakati mwingine si rahisi mtu profesa wa chuo kikuu, ama kiongozi mkubwa kujiita kichaa ama kusema kaokotwa jalalani kama si kusumbuliwa na mzimu wa kujaribu kumwaga damu isiyo na hatia!

Mzimu wa kufikiri, kupanga na kutekeleza mpango wa mauaji dhidi ya Lissu uwaandame waovu, na ikiwezekana uwanyonge!
Wengi watakufa kwa majuto wasijue cha kufanya. Waliopanga, walioratibu, waliotekeleza, waliosimamia, waliofadhili, waliofurahia. Mnyororo ni mrefu sana.
 
Akubali tu kuachia madaraka ya urais kabla ya uchaguzi mkuu kwa kujiuzulu na kukiri alijaribu kumuua Lissu na ashtakiwe. Akifaya hivyo atalinda heshima yake Milele

babukijana
 
Back
Top Bottom