Mzimu wa Kikombe cha Babu wa Loliondo waibukia Dar: Wananchi wafurika kupokea dawa eneo la Feri kwa buku 3 pekee.

Wajinga hawaishi!

Ova
Wabongo bana kuwatapeli ni rahisi sana tena hata waliokwenda shule pia nao huamini vitu hivyo!

Naomba Mungu Alshabab na Alqaida waishie hukohuko nje ya mipaka ya nchi yetu maana kwa ilivo rahisi kuwaghilibu wabongo na kuwachota akili watu wangekufa sana kwa kuuliwa aisee
 
Kweli kabisa

Ova
 
Back
Top Bottom