Mzimu wa Hayati Baba wa Taifa ukifufuka kila mtu ataingia chini ya uvungu

Mtoa mada unaonekana una hofu ya jambo lisilokuwepo, mada zako nyingi zinaonyesha hilo.
 
Hayati Baba wa Taifa inasemekana kabla ya kututoka aliweka kila kitu kwenye mstari. Ndie Rais alitwala muda mrefu na ndie Rais aliona mengi nakujuwa mengi kuliko watangulizi wake.

Kutokana na vile aliona mengi Mwalimu aliona miaka miamoja ya Taifa hili hivyo aliweka mikakati yakuhakikisha hatukosei na ndani ya chama pamoja na TISS aliunda kikoSi KAZI ambacho uwenda kilikuwa na nguvu Sana mpaka akiwa nje ya madaraka macho yalikuwa kwake.

Labda hatujuwi Ma Rais wa staafu huwa ni sehemu ya serikali na wananguvu japo hatuzioni. Hayati Baba wa Taifa aliona mbali na uwenda aliona huu wakati tunapita leo.

Kwa Kuwa hakuwa binadamu wa kawaida uwenda aweza Kuwa bundi anayelia masikioni mwa makachero na viongoz wakuu wakitaifa Ambao walikuwa naye.

Hiki kinaendelea kwenye siasa Sio kitu kigeni na uwenda hakina viashiria vizuri hasa kutokana na chama CCM kipo kimya na hata wasomi wakubwa MTU kama Prof Shivji wote wamefumba midomo hii sio kiashiria kizuri.

Mwalimu Alisha wahusia hawa wazee na uwenda wamekaa pembeni wanasubiri mzimu wa Nyerere ufufuke na niukweli usio pingika Mzimu wa Hayati Baba Wa Taifa ukifufuka kila MTU ataingia chini ya uvungu.

Embu jiulize kinga yakutoshitakiwa Jaji Mkuu na Spika wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania ina maana gani?

Mihimili mnayo igusa nakuipa kinga itawafufua walio lala na inazidi kuleta maswal mengi yasio namajibu.

Nashauri someni vyema maagizo na ushauri wa wazee wa Taifa hili msije mkafurahisha watu.

Upo msemo unasema ukipenda kushangiliwa Sana basi pia ukubali kuzomewa. Asante
Nini mzimu wake huyo Nyerere yeye mwenyewe akifufuka atapewa shit tu!!!

Chezea kizazi kipya wewe!!! Kuna chuma kinaitwa Job Ndugai a.k.a Subwoofer

Msekwa na ushiriki wake wa kuandaa katiba tunayoitumia sasa kapewa shit tena shit la dharau kwelikweli kaambiwa wa kizamani mambo mapya hayajui

Huyo Msekwa ndio yupo hai sasa itakua huyo Nyerere tena baada ya kufufuka katika wafu sanasana atapelekewa wasiojulikana afutiliwe mbali

Usifanye mchezo na "MITANO TENA"
 
More than 3times...

Ile ndio ilikuwa tz

Hii tz ya sasa imejaa mazezeta wengi sana

ivi vitoto na siasa zao uchwara hawawezi elewa haya mambo, wao akishachaguliwa mbowe, lema, lissu basi tayar kuna demokrasia nchini, kwa kifupi tuna safari ndefu sana ya hii nchi watu kujitambua
 
Back
Top Bottom