singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
nmecheka sanaWampe msomi Kubenea.
Kwa elimu yake ya hapa na pale atakiokoa chama.
Chama waliamua kukikabidhi kwa mafisadi na sasa chadema ni chama kikuu cha mafisadi Tanzania.
WAMPE MBATIA ALIYETELEKEZA CHAMA CHAKE NA KUPOTEZA MAJIMBO KWA KUJIFANYA MSEMAJI WA UKAWA!
Walikuwa wanaichafua ccm kwa ufisadi walishahamia chademahakuna chama kitakachomzidi ccm kwa ufisadi,mmefilisi nchi kwa ukwepaji kodi na wizi wa makontena bandarini ili mhudumie chama.kama mna jeuri ya kusema wengine hebu tuambieni nana anapiga dili meno ya tembo kama sii katibu mkuu wenu na mkwe....,makontena ya bandari yalikuwa ya nani,twiga KIA walikuwa wa nani kama si nape na genge lake
bwana unazungumza nini, mafisadi wakuu waliokuwa ccm si ndio tumewapokea na kuwasafisha chadema. sasa ni wasafi kama theluji. kwani umewahi sikia ccm wamesafisha mafisadi!? sana sana wanaendelea kuwatumbua majipu. kauli yako nadhani kwa sasa haiko valid. imepitwa na wakati. kazi na kibao kimetugeukia. na sisi tutafute namna ya kuyatumbua sasa majipu haya yasije yakatutumbuahakuna chama kitakachomzidi ccm kwa ufisadi,mmefilisi nchi kwa ukwepaji kodi na wizi wa makontena bandarini ili mhudumie chama.kama mna jeuri ya kusema wengine hebu tuambieni nana anapiga dili meno ya tembo kama sii katibu mkuu wenu na mkwe....,makontena ya bandari yalikuwa ya nani,twiga KIA walikuwa wa nani kama si nape na genge lake
Hv hujui kama mafisadi wote ni Ccm! Hakika taifa linaangamia kwa watu kukosa maarifa,bwana unazungumza nini, mafisadi wakuu waliokuwa ccm si ndio tumewapokea na kuwasafisha chadema. sasa ni wasafi kama theluji. kwani umewahi sikia ccm wamesafisha mafisadi!? sana sana wanaendelea kuwatumbua majipu. kauli yako nadhani kwa sasa haiko valid. imepitwa na wakati. kazi na kibao kimetugeukia. na sisi tutafute namna ya kuyatumbua sasa majipu haya yasije yakatutumbua
Hv hujui kama mafisadi wote ni Ccm! Hakika taifa linaangamia kwa watu kukosa maarifa,
Chama waliamua kukikabidhi kwa mafisadi na sasa chadema ni chama kikuu cha mafisadi Tanzania.
Kwa taarifa yako Ccm Ni Chama Tawala cha watuhumiwa wa Mafisadi Tanzania
Aliowahi kuwataja
Dr Slaa Na kuelezea tuhuma zao Ni hawa hapa
NMkapa
Kikwkette
Magufuliy
Lowoassa
Change
Na wengine wengi unawajua
Chadema ni chama safiQUOTE]
lowasa ni mmoja tu CDM na aliwajibika kwa majungu ya mwakyembe na sita,ila ccm wooote mafisadi ritwan,mkwere,kinana,maswi,muhongo,chinkapa, na wengine wengiHilo swali zuri sana, muulize mnyika na Lisu kwa nini walikuwa wanasema wana ushahidi kuwa lowasa ni fisadi kumbe hawana !?!
muhongo kahama lini,yule wa meno ya tembo naeWalikuwa wanaichafua ccm kwa ufisadi walishahamia chadema
Kwa sasa mmebanwa kwenye kona kama mjusi.......karibuni ACT....maana huko mliko mnaitwa mafisadiKelele za maccm huwa zinakoma pale Bunge linapoanza kazi. Bado siku chache tuu mtaufyata pale madudu yenu yatakapo anikwa hadharani, na safari hii timu imekamilika kabisa