Mzimu wa ‘Bunge Live’ watikisa, wananchi watinga mahakamani

Na hii ndo tafsiri tuliomezeshwa toka kwa watawala wa kiafrica ukiwa mkosoaji au chama pinzani bas unakuwa sio mwanachi wa nchi husika ukiwa muungaji mkono na kura zako za ndio kwa kila kitu bas ww na mtz halali kama sio bas ww unakuwa mhamiaji

Bara la Giza Africa , Ndio tushazoeshwa
 
Watu manashekesha sana...kwani kusema waliofungua kesi ni wana Chadema, INA maana CCM wanaona live pale Lumumba? Hili ni janga LA kitaifa wapendwa!
 
Ndio mwanzo. Hv kuna kitu gani bunge kuonyeshwa live. Hii ni haki ya kikatiba. Magu anasema tuache siasa wakati yeye ndie analeta siasa. Akili nyinginr za mviringo hizi
 
Hii kesi iliyofunguliwa haijafunguliwa na wananchi kwa sababu kuu zifuatazo

1.Hii kesi kusema imefunguliwa na wananchi sio kweli imefunguliwa na watu wa Kilimanjaro.Angalia asilimia kubwa ya wafunguaji kesi wanatoka kilimanjaro na wakili kilimanjaro.

2.Imefunguliwa na chama kimoja na wanachama wa chama kimoja wakati Tanzania ina vyama vingi na ina watu wasio na vyama

Ingekuwa ya wananchi ingehusisha watu toka mikoa yote ya tanzania na Zanzibar na vyama vyote na watu wasio na vyama.

Hii kesi isomeke kuwa ni KILIMANJARO vs REPUBLIC case OF 2016

So what you want to vomit here is that those people from Kilimanjaro aren't Tanzanian citizens? Ndugu...hii prejudice unayoitengeneza hapa siku mambo yakiharibika sio wewe au Mimi tutakaobakia salama....siasa zisitufikishe halo tafadhali...walofungua kesi hi haki yao kikatiba as far as URT Constitution of 1977 is concerned.
 
I knew haters gonna hate!


Halafu,Pole! Unao ushahidi wowote kutoka kwa credible source ndani ya ndoa yako? Kama alikuambia then i'll make her famous!
umeharibu ndoa ya dada angu wa UVCCM rombo umemshawishi moaka amehama chama...tunakuwinda uingie anga zetu hatujasahau cha moto utakiona
 
Hicho ndicho kitawafanya wawe masikioni mwa umma wa Watanzania. Hawana hoja za msingi nao wanajua hilo. Haki za kupata taarifa sawa namna gani mnapata taarifa ni jukumu la mtoa taarifa
Na wewe ni great thinker? Utakuwa ki/laza bila shaka.. vila/za kama nyie ndo mnarudisha maendeleo yetu nyuma, vinginevyo ni bora ukafumba domo kuficha utumbaf wako
 
mtoa mada ungesema tu specific kuwa ni wana chadema na wana ukwa kwa pamoja wamefungua kesi kuliko kutumia neno wananchi,maana huo mzimu hauwatesi wananchi bali wanaukawa na wanachadema kwa umoja wao...
kwani wana chadema na wana ukawa sio wananchi?cha msingi hapa ni maudhui ya mleta uzi hapa umeeleweka au la.
 
Ninachoendelea kugundua hapa ni kwamba wachangiaji wengi ni vil/aza tena wa daraja la kwanza. Hawana uelewa mpana wa mambo.. badala kuchangia hoja wanamshambulia mtu binafsi.. naona malengo ya fisiem yalifanikiwa, ya kuwafanya watz mazwazwa. Watz ni mimtu ya 'hewala hewala' kwa sababu inajijua haina ujuzi wa ktunga hoja, kama nonayoona hapa..

Kwanza poleni kwa sababu mna vya kupoteza vingi mkiendelea kukumbatia uki/laza.. bora mwende tu form one
 
Na wewe ni great thinker? Utakuwa ki/laza bila shaka.. vila/za kama nyie ndo mnarudisha maendeleo yetu nyuma, vinginevyo ni bora ukafumba domo kuficha utumbaf wako
Mwanangu mama yako hajakuambia kwamba yeye hamtambui baba yako hivyo kuwa na heshima kwa kila mwanaume huenda akawa baba yako. Basi nitamwambia aendelee kukukanya kwani tabia njema ni silaha nzuri kuyakabili maisha.
 
Back
Top Bottom