Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,066
- 4,085
Bujibuji alienda kwa rafik yake kupiga story, mara mvua kubwa ikanyesha mshkaji akabidi amwambie Bujibuji usijali utalala hata hapa sebuleni kwakuwa mvua kubwa! Bujibuji akasema poa Ntalala usijali.! mwenyeji alipoingia chumban kama dakika kumi jamaa anatoka chumbani akamkuta Bujibuji amelowa chapachapa alipomuuliza vipi mbona hivyo.? Bujibuji akajibu .....Nilienda kuchukua shuka nyumbani..!