Mzimu wa Bujibuji unapopanda

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,059
4,055
Bujibuji alienda kwa rafik yake kupiga story, mara mvua kubwa ikanyesha mshkaji akabidi amwambie Bujibuji usijali utalala hata hapa sebuleni kwakuwa mvua kubwa! Bujibuji akasema poa Ntalala usijali.! mwenyeji alipoingia chumban kama dakika kumi jamaa anatoka chumbani akamkuta Bujibuji amelowa chapachapa alipomuuliza vipi mbona hivyo.? Bujibuji akajibu .....Nilienda kuchukua shuka nyumbani..!
 
Duuh Bujibuji huyuhuyu wa hapa?
Yaani huyuhuyu? Narudia tena huyuhuyu?
Mi naimani umemshabihisha? Kwani Buji hua anapata ile mineno?
Nnamaanisha hua anastua?
 
Last edited by a moderator:
ungekuja kulala kwangu!! huwa mvua inanyesha kooooteeeee, lakini kwangu jua kabisaaa!
 
Duuh Bujibuji huyuhuyu wa hapa?
Yaani huyuhuyu? Narudia tena huyuhuyu?
Mi naimani umemshabihisha? Kwani Buji hua anapata ile mineno?
Nnamaanisha hua anastua?

Mtazame vizuri midomo yake, anapata sana kitu inaitwa MAKAMBO, ni equivalent to au zaidi ya CHA ARUSHA
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom