Mzimu wa ajabu waanua unga wa ugali

Sasa kwa upepo wa mbeya unga ukianikwa nje kwanni usipeperuke
waache imani za ajabu ajabu
 
hii sasa kali ya mwaka duu,lakin Mbeya si ndiko kunaongoza kwa makanisa mengi kulikoni kamzim tu tena
'kala unga' wanakashindwa!
Israel ndiko alikotokea Yesu kwa maana hiyo kuwa na makanisa mengi sio kwamba ndo wate wanamjua Mungu
 
Huo mzimu naujua.. Ulianza kula sukari dar .. Kumbe umehamia huko!! Polen sana, mizimu misosi yao kuku,mbuz, minyama nyama,miburger sasa baba J kabana mpaka mizimu inagombania unga na wananchi, KAMZIMU UCHWARA
 
Back
Top Bottom