Mzimu uliomtafuna Babu Carlo Ancelotti wamnyemelea Jose Mourinho?

Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
11,265
17,677
Heri ya sikukuu ya Noeli wana JF,

Hivi kuna watu wengine wanaota hii ndoto mbaya ambapo Jose Mourinho anakaribia kupatwa na maafa kama yaliyomkuta Coach mzoefu Carlo Ancelotti pale Bayern Munchen?

Naona zama za waalimu wakongwe kustaafishwa kilazima na vijana zimewajia.

Mzee Alex Ferguson aliona mapema ishara mbaya. Wenzie akina Wenger, Carlo Ancelotti, Moyes, Van Gaal, n.k wanakumbwa na huu upepo.

Nawatakia sikukuu njema ya Noeli na mwaka mpya shabiki wote wa Manchester United.
God bless you.
 
Yap mkuu umenena ubaya wao wanatumia mbinu za kizamani ambapo huu sio wakati wake mf. Ancelot nilitokea kutompenda baada ya kutuborongea Alianz Arena.
 
Heri ya sikukuu ya Noeli wana JF,

Hivi kuna watu wengine wanaota hii ndoto mbaya ambapo Jose Mourinho anakaribia kupatwa na maafa kama yaliyomkuta Coach mzoefu Carlo Ancelotti pale Bayern Munchen?

Naona zama za waalimu wakongwe kustaafishwa kilazima na vijana zimewajia.

Mzee Alex Ferguson aliona mapema ishara mbaya. Wenzie akina Wenger, Carlo Ancelotti, Moyes, Van Gaal, n.k wanakumbwa na huu upepo.

Nawatakia sikukuu njema ya Noeli na mwaka mpya shabiki wote wa Manchester United.
God bless you.
Mourinho hapo alipofka ni anapongezi nyingi kutoka kwa mashabiki wa mashetani kila kona ya dunia hasa wanaoufaham mpira acha mashabiki andazi
 
Klop kasajili wachezaji wa kila aina na bado anafungwa, hivi kwa Kikosi kama Tottenham ambacho hakina mshambuliaji kwa sasa ulitaka miujiza gani ifanyike? Kati ya watu walioiharibu Bayern ni pamoja na Pep.
Huu uzi una matter sana kwa mwaka tulionao. Ni kweli Mourinho afate kama mwenzake babu Ancelloti akafundishe timu ndogo. Hana maajabu zama zake ziliisha Inter Milan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Klop kasajili wachezaji wa kila aina na bado anafungwa, hivi kwa Kikosi kama Tottenham ambacho hakina mshambuliaji kwa sasa ulitaka miujiza gani ifanyike? Kati ya watu walioiharibu Bayern ni pamoja na Pep.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa suala la Pep kuharibu Bayern nakubaliana na wewe. Mourinho kwani alivyokua Man U hakupewa mafweza ya kutosha kusajili lakini bado akachemka?
Mo kaishiwa tuache ushabiki. Mimi ni realist. Hata huyo Pep amechemka sana.
 
Acheni ujanja ujanja, Mo msimu wa kwanza Man Utd alikuwa wa pili kwenye ligi pamoja na kuchukua Uropa, msimu uliofuata akatimuliwa akiwa wa saba kwenye ligi na akiwa bado yupo UEFA tena akiwa amemfunga Juventus nyumbani. Kuna wachezaji Mo aliwataka hasa kwenye safu ya ulinzi, wachezaji aliowahitaji ni pamoja na Harry McGuire ambaye alisajiliwa baadae. Ila angaalia Ole ndio kapewa karibia kila kitu ambacho Mo alitaka kiwepo, Ole mwenyewe hana dalili ya kubeba kombe lolote kwa sasa lakini club iko tayari kusimama nae, kwa Mo ndani ya msimu mmoja walitaka wabebe makombe yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True say, hujapindisha hata nukta

Mourihno alikuwa na wachezaji wazuri kuliko ole aliowakuta/alivyowakuta..Ole ndo anasuka mipango yake sasa

Na msimu wa kwanza mourihno alikaa nafasi ya sita..wewe umesema nafasi ya pili
 
Hebu tutajie hao wachezaji wazuri aliowakuta Mo na ambao Ole hakuwakuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliowasajili

√Pogba,Ibrahimovic,Mhkitaryan(Bundesliga best player),Bailly

Aliowakuta

Herrera (alikuwa on form),Rojo(alikuwa on form),Blind alikuwa poa,Martial alikuwa form,Rooney+Mata+Carrick=Maturity+leadership

Ole anajaribu kuondoa reject na kuanza kupanga karata zake..na sajili zake zimeonyesha ubora kiasi fulani kuliko sajili za Mou..
 
Wewe jamaa una utani mbaya, Rooney + Carrick walikuwa wanamalizia pension zao pale ila uwezo wa kupambana ulikuwa umeisha, Erick Bailey na Pogba siku zote spana mkononi kuanzia kipindi cha Mou, Martial matatizo yake ni yale yale kuanzia kipindi cha Mou, tena kuanzia Mou aondoke kipaji cha Lingard kimejifia tu, Mou ni lile baraza la wazee Rooney, Carrick, Ibrahimovich, Sanchez, Valencia na Ashy Young bado alipambana kweli kweli.

Rooney na Carrick hata hawakuwa wakipangwa first eleven..Yupo spurs now..leta mrejesho
 
Kwa suala la Pep kuharibu Bayern nakubaliana na wewe. Mourinho kwani alivyokua Man U hakupewa mafweza ya kutosha kusajili lakini bado akachemka?
Mo kaishiwa tuache ushabiki. Mimi ni realist. Hata huyo Pep amechemka sana.
Alipomtaka De Ligt/Magure/Toby aliambiwa hawana tofauti akina Phil Jones. Kocha mpya naye kamtaka huyo huyo Maguire kwa bei ya £20 zaidi. Hapo utasemaje alipewa alichotaka. Woodward mwenyewe juzi kati kakiri kuna mara mbili tatu alideliver NO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom