Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 11,292
- 17,739
Heri ya sikukuu ya Noeli wana JF,
Hivi kuna watu wengine wanaota hii ndoto mbaya ambapo Jose Mourinho anakaribia kupatwa na maafa kama yaliyomkuta Coach mzoefu Carlo Ancelotti pale Bayern Munchen?
Naona zama za waalimu wakongwe kustaafishwa kilazima na vijana zimewajia.
Mzee Alex Ferguson aliona mapema ishara mbaya. Wenzie akina Wenger, Carlo Ancelotti, Moyes, Van Gaal, n.k wanakumbwa na huu upepo.
Nawatakia sikukuu njema ya Noeli na mwaka mpya shabiki wote wa Manchester United.
God bless you.