Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,007
- 13,799
Msimu wa kwanza man u,mo alimaliza wa sita acha kutufunga kamba.Acheni ujanja ujanja, Mo msimu wa kwanza Man Utd alikuwa wa pili kwenye ligi pamoja na kuchukua Uropa, msimu uliofuata akatimuliwa akiwa wa saba kwenye ligi na akiwa bado yupo UEFA tena akiwa amemfunga Juventus nyumbani. Kuna wachezaji Mo aliwataka hasa kwenye safu ya ulinzi, wachezaji aliowahitaji ni pamoja na Harry McGuire ambaye alisajiliwa baadae. Ila angaalia Ole ndio kapewa karibia kila kitu ambacho Mo alitaka kiwepo, Ole mwenyewe hana dalili ya kubeba kombe lolote kwa sasa lakini club iko tayari kusimama nae, kwa Mo ndani ya msimu mmoja walitaka wabebe makombe yote.
Sent using Jamii Forums mobile app