Mzimu Nyangeta uliopo katika mji mdogo wenye mambo ya kishirikina na utajiri wa kishirikina uitwao Lamadi

Kwanza kabisa stori yako ina kasoro nyingi sana,Mimi ni mkazi wa Lamadi hapa nikusahihishe Kamanda Kova hajawahi kuja hapa aliyekuja ni Kamanda Siro ni kweli alipiga mkwara wa nguvu sana na akasema kuwa ndani ya siku ya 10 jibu litapatikana,NI kweli hapa kwetu kulikuwa na hili suala la mauaji ya watoto wa kike na wanawake pia na walikuwa wakitolewa viungo vya siri hivyo ni kweli lakini ishu ya Nyageta umepotoshwa,Nyangeta ni dada fulani hivi kama chizi,kwao ni Kyabakali Musoma vijijini huko, Ni mtu hatari sana ana Mambo ya kishirikina kweli anaweza kuja dukani kwako akaomba umpe kitu ile unainama au kugeuka tu unapoteza network na kama Kuna pesa kwenye droo au sehemu yoyote ujue imeshaondoka hiyo,Sasa Kuna watu hapa walimchukua wakaenda nae sehemu mbalimbali hapa TZ wakapiga pesa huko wakaja hapa wakajenga nyumba wakafanya maendeleo pia,wakatokea wengine tena wakamtorosha wakapiga pesa tena wakajenga majumba na wananunua magari,Wengine tena wakamtorosha hivyo hivyo Sasa nafikiri kulitokea kutoelewana kati yao waliokuwa wakimchukua wakadhurumiana ndio Mambo yakatibuka wakasemana ikawa imejulikana wakakamatwa wakaachiwa tena,Sasa yalipojotokeza haya mauaji ya watoto na wamama ndio yakaibuka tena mambo ya Nyangeta wakawa wanahusisha haya Mambo na ishu ya Nyangeta stori ni ndefu nitawachosha naona niishie hapa ila huyo Nyangeta ni dada hatari ana dawa za hatari unaambiwa anaweza kuja kununua kitu dukani kwako akakupa elfu 10 ukiichanganya na pesa nyingine ndio hivyo tena imekula kwako yaani unaambiwa ana staili kibao sana za chuma ulete

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi sana na nilichokisikia kutoka kwa mtu aliyeshiriki katika operation hyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasemekana miongoni mwa sababu za umaskini katika nchi za Afrika ni Ushirikina, na hili sasa kwa umri wangu nalishuhudia kuwa ni kweli na wala sio dhana tu. Maeneo mengi ndani ya Taifa langu la Tanzania hofu na ushirikina ni sababu za kuzuia maendeleo. Katika karne hii ambayo ulimwenguni wanafurahia matumizi ya ukuaji wa teknolojia kujiletea maendeleo katika nyanja mbalimbali lakini cha kunisikitisha hata mpk katika kada la wanaojiita wanataaluma (academicians) katika bara la Afrika suala la ushirikina limekuwepo kwani kuna viashiria vya kutosha. Itachukua zaidi ya karne nyingi mpaka tuyashuhudie maendeleo katika nchi za Afrika kwa vizazi vingi vijavyo.
 
Nimefika pembeni kidogo ya haka kamji ka kibiashara nimekutana stori za kuogofya kuhusu ushirikina. Ni Mwezi uliopita kamanda Kova alidhuru kwenye haka kamji

Kulikua na wimbi la watoto wa kike na akina mama kuuwa na viungo vyao kukatwa, kisha kuvipeleka kwa Waganga ili kujipatia utajiri

Basi Bwana Kova alikuja akatandika mkwara wa kutosha baada ya siku mbili akatinga Mkuu wa Mkoa. Kesho yake zikaingia defender mbili zikaanza kuzoa Waganga wa kienyeji waliopo ndani na nje ya haka kamji

Kuna kijana ni tajiri sana hapo Lamadi nae akazolewa, ndo stori zikaanza kuzagaa kwamba yule kijana ana msukule wa kuitwa Nyangeta Zoa Mapesa

Wanasema uyo Nyangeta ni kama chuma ulete akija dukani kwako akinunua kitu ukimrudishia chenchi ndo pesa zako au mauzo yako yanatoweka, ukimstukia ukitoka nje humkuti

Wanaendelea kusema huyo Nyangeta anakodishwa unakuja umkodi akakufanyie kazi, kwa Mfano unakuja kumkodi unaenda nae Mbeya unakodi chumba yeye kazi yake ni kuzunguka kwenye biashara za watu anakukusanyia pesa

Wanasema babake Nyangeta ni tajiri hatari na huyo kijana alimnunua toka kwa huyo babake Nyangeta. Wadau wanasema Nyangeta aliwaikufa Baadae akaja kuonekana

Wanasema huko Polisi, dogo alipewa kichapo akakiri kuwa na huo msukule na anapesa nyingi sana ndani ila hazionekani. Anasema yeye hamtumi Nyangeta hapo Lamadi kwa sababu hakuna pesa, anamtuma mikoani yenye Pesa

Muwe wavumilivu kwa uandishi na mtiririko wa story, najua JF ina Member kila sehemu wale wa Lamadi hebu shukeni hapa na hiyo stori ya Nyangeta na huo Ushirikina wa Lamadi
HALAFU UKOME KUUITA MJI WETU UNA MAMBO YA KISHIRIKINA,USHIRIKINA UPO SEHEMU KIBAO TU HATA KWENU UPO MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa yako kuna watu wasomi kuliko hata wewe,suala la ushirikina lipo kila mahali

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio wasomi wapo ila wengi wao sio wakazi wa huko..wakazi wa huko waliosoma karbia wote hawaishi hayo maeneo mana wanaogopa kulogwa...watu wa huko wana wivu sana, elimu hakuna, wanathamini mifugo na wanaishi maisha primitive sana....Huwez kunambia kitu simiyu, hakuna kitu kule
 
Kwanza kabisa stori yako ina kasoro nyingi sana,Mimi ni mkazi wa Lamadi hapa nikusahihishe Kamanda Kova hajawahi kuja hapa aliyekuja ni Kamanda Siro ni kweli alipiga mkwara wa nguvu sana na akasema kuwa ndani ya siku ya 10 jibu litapatikana,NI kweli hapa kwetu kulikuwa na hili suala la mauaji ya watoto wa kike na wanawake pia na walikuwa wakitolewa viungo vya siri hivyo ni kweli lakini ishu ya Nyageta umepotoshwa,Nyangeta ni dada fulani hivi kama chizi,kwao ni Kyabakali Musoma vijijini huko, Ni mtu hatari sana ana Mambo ya kishirikina kweli anaweza kuja dukani kwako akaomba umpe kitu ile unainama au kugeuka tu unapoteza network na kama Kuna pesa kwenye droo au sehemu yoyote ujue imeshaondoka hiyo,Sasa Kuna watu hapa walimchukua wakaenda nae sehemu mbalimbali hapa TZ wakapiga pesa huko wakaja hapa wakajenga nyumba wakafanya maendeleo pia,wakatokea wengine tena wakamtorosha wakapiga pesa tena wakajenga majumba na wananunua magari,Wengine tena wakamtorosha hivyo hivyo Sasa nafikiri kulitokea kutoelewana kati yao waliokuwa wakimchukua wakadhurumiana ndio Mambo yakatibuka wakasemana ikawa imejulikana wakakamatwa wakaachiwa tena,Sasa yalipojotokeza haya mauaji ya watoto na wamama ndio yakaibuka tena mambo ya Nyangeta wakawa wanahusisha haya Mambo na ishu ya Nyangeta stori ni ndefu nitawachosha naona niishie hapa ila huyo Nyangeta ni dada hatari ana dawa za hatari unaambiwa anaweza kuja kununua kitu dukani kwako akakupa elfu 10 ukiichanganya na pesa nyingine ndio hivyo tena imekula kwako yaani unaambiwa ana staili kibao sana za chuma ulete

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuu,kumbe inawezekana nyangeta na mauaji havihusiani

Kama ninakufahamu vile😊😊
 
bado unaofisi yako ya simu hapo Lamadi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom