Mziki wa kwenye magari

hekimatele

JF-Expert Member
May 31, 2011
9,884
2,781
Wadau salama,
Kwa wataalamu wa mambo ya miziki garini, namaanisha redio za kwenye magari nahitaji msaada kidogo.
Nimenunua Kenwood Radio ya kwenye gari model ya 2018 (KDC-X303)
Nahitaji kujua speaker za size gani napaswa kununua ziendane na redio bila shida kabisa na bila kununua amplifiers.
Hii redio specs zake hizi hapa chini:

Kenwood Excelon KDC-X303 CD Receiver with Bluetooth

Highlights:
SiriusXM Ready
Spotify, Pandora & iHeartRadio Ready
FLAC Support: up to 96kHz/24 bit resolution via USB
Bluetooth Audio direct access button
Front USB Input (Rapid Charge)
Front Aux Input
50W x 4 Max, 22W x 4 RMS Power (MOSFET Power IC)
3 Sets of 5 Volt RCA Pre-outs

Features:
255 Segment 1.5 Line Text Display
Variable Color Illumination
13 Band EQ w/DSP& Drive EQ
Dual Phone Connection
Android AOA 2.0 (Fast Playback)
KENWOOD Music Mix
KENWOOD Remote App Ready
Steering Wheel Control Input
TDF (Theft Deterrent Faceplate)
Multi Language (English, Spanish)
Remote Control Ready
Music Application Control
Connect your iPhone to access and control the most popular music application sources. Simply install the Spotify, Pandora, and/or iHeartAuto apps on your device, then connect iPhone via USB to enjoy music playback. For Android devices, simply use the receiver’s BT Audio source.

Bluetooth with Dual Phone Connection
Allows 2 phones to be connected for hands-free calling operation at any time.

KENWOOD Music Play
Is an app that allows you to listen to music from your Android device (Android OS 4.1+) on your KENWOOD audio receiver when connected via USB.

KENWOOD Music Mix
Switch between up to 5 Bluetooth audio devices with ease!

Kenwood Remote App
Use your smartphone to control most basic functions of the receiver over the Bluetooth connection of the paired phone (iPhone or Android). Simply install the KENWOOD Remote App, then use it to simplify setting up your EQ, Sound Effects, Car Settings and more!
Features & details
Bluetooth with Dual Phone Connection
Front USB and Aux Inputs
Variable Color Illumination
Steering Wheel Control Input

Naombeni msaada wenu wataalamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka kufunga speaker nne ambazo zitaweza kumudu power ya speaker bila kuongeza amplifiers.
Yaani speakers zisielemewe na ukubwa wa redio na wala redio isizifanye speakers zikashindwa kupiga mzigo ipasavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa specifications za hiyo radio, ni kwamba huwezi kuunganisha na speaker kubwa za bass na ukapata matokeo chanya, badala yake speaker pekee zakuweza kuunganisha ni za mid, nikimaanisha zila za mlangoni au za kwenye dashboard au zile za nyuma. Ambapo eidha ziwe zile za kuja na gari (OEM) au za kununua dukani (aftermarket). Na kama ni za kununua dukani unapaswa pia kuangalia specifications zake zifanane na uwezo wa radio.
Ambapo kila speaker lazima iwe na RMS watts isiyopungua 22watts kama radio inavyohitaji, Bora izidi.
Na speaker zisizidi 4.
Size ya speaker ni 4", 6", 6.5" au 6*9
Brand kuna sony, pioneer, kenwood n.k
 
22watts rms bado hutapata mziki unaovutia,labda kama ni mpezi wa kusikiliza mziki usiokuwa na mkito
 
22watts rms bado hutapata mziki unaovutia,labda kama ni mpezi wa kusikiliza mziki usiokuwa na mkito
Yeye amesema hataki kuongeza amplifier, kwa maana hiyo mziki wake hauwezi kuwa mkubwa labda anunue powered subwoofer enclosure kwa ajili ya bass. Kinyume na hapo zitatumika speaker za kawaida ambazo mziki wake ni wa kawaida hauna bass nzito.
 
kifupi radio ina RMS kidogo 22w ...hata zile za mlangoni mbele za watts 35 haziwezi piga vizuri na watts 22
 
Back
Top Bottom