Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 49,615
- 68,521
Kwa hiyo unahuzunika au unafurahia
Nasikitika
Kwa hiyo unahuzunika au unafurahia
Rafik yangu alilelewa na shangaz wa baba yakeNa mtoto wa kiume hawezi kuleta mtoto wake kwangu, haiwezekani! Akalelee mtoto wake huko, silei ujinga mie
Tatizo sio kuwa na boyfriend, je wamejipanga kumudu hayo maisha wanayoyakimbilia?Mabint waruhusiwe kuwa na boyfriend tatizo vijana wa kiume uwiii Ndio itakuwa umemkabidhi chakula
Hili swala ni pande zote lakini jamii ni kama imepeleka zaidi tuhuma kwa jinsia ya kike Yani mtu akiona kijana wakiume anammendea binti yake anakuwa mkali kwa kumlinda binti asiharibiwe ila mtu huyo huyo akikuta kijana wake wa kiume anammendea binti wa jirani waaala hakatazi anaona sawaNa wakiume wanaolelewa watoto wao kwa wazazi wao nao wakae wakijua inawauma sana wazazi wao!!Tusibaki kuwalaumu wakike tu kwa kuwa hawazai kwa uwezo wa Roho Mtakatifu bali kuna ushiriki wa jinsia Me pia!!!
Tatizo sio kuwa na boyfriend, je wamejipanga kumudu hayo maisha wanayoyakimbilia?
Ila wapo wenye msimamo ambao watu hawawadhanii kutokana misimamo mikali ya wajomba mtoto wa kike haleti ujinga ujinga,Mi nadhan tukubali mapema watoto wa kike kuwa na boyfriend mmoja kama wazungu
Mtoto wa kike akienda hata sokon unapata mawazo
Urafiki lazima utambulike ni wa aina gani na uwe na mipaka. Hiyo mipaka inahitaji misimamo, hiyo misimamo wahusika wanaipata kwenye makuzi na malezi. Hayo malezi kuyapata kwa sasa nayo ni changamoto. Watoto wanayajua na kuyaanza mambo wakiwa wadogo mno.Urafiki wa kawaida tu mambo ya kuficha a Haya unakuwa hujui
Kwan ni muda gani bunt anatakiwa awe na boyfriend?
Labda nyie huko bara. Kwetu pwani kuzalia nyumbani hata watoto 10 kila mtu na baba ake wazazi hawana noma.Ukitaka kuona mzazi anavyoumia na kuaibika ni binti azalie nyumbani. Wazazi wengi huwa wanaumia sana ni basi tuu.
BalaaLabda nyie huko bara. Kwetu pwani kuzalia nyumbani hata watoto 10 kila mtu na baba ake wazazi hawana noma.
Kuolewa na kuachika hata mara 50 wazazazi hawaleti noma pia. Ndio maana ukija mtaani kwetu akina Mwajuma, Asha, Chau, Sikuzani wote wanawatoto baada ya kumaliza std 7 mwaka jana na wote hakuna above 18.
Kaka zao pia waliomaliza wote shule akina Dulla, Roja, Beka, Msodoki nao wametia mimba mabinti huko mtaaa wa pili, kazi hawana wanategemea minazi na embe kutoka shamba la wazazi
Anapigwa mimba akiwa nyumbani Anazalia nyumbani na muhuni anatokomea mitini.
Matunzo zero mjukuu anaishi doglyf Lawama unatupiwa babu kum.anyoooko.
Nataka nikupe mimba niingie mitini.Toka hapa na matusi yako
Umechangia mada umeeleweka matusi sasa ya nini
Na tubinti twa hivyo tunapata tu mimba haraka. Vikiguswa tu imo😂😂😂😂Mtihani sana siku hizi kisichana kipite miaka 15,16,17,18 bila kubeba ujauzito ni nadra sanaa
Yaani wanapata ujauzito kabla ya kuelewa ujauzito ni nini?
Cha ajabu wanapewa ujauzito na watu wazima yaani wamewapita kupitiliza.
Huo uzi uko wapi mtu anitagNimehamasika kuanzisha Uzi huu baada ya kusoma Uzi wa mdau analalamika dada zake wote wamezalia nyumbani.
Bila shaka atakuwa na uchungu juu ya Jambo hili na ndivyo ilivyo kwa wazazi wengi wanaolea binti zao na mwisho kupewa majukumu mengine ya kulea wajukuu.
Hili ni tatizo kubwa kwasasa wanawake wanapaswa kujitambua na kujua nyakati zimebadilika na suala la malezi ni jukumu zito. Msichana usipo jitambua ni mzigo kwa wazazi wako.
Naandika haya nikiwa Kama mzazi wakiume. Ninyi mabinti ninani aliyewaloga? Hata hivyo serikali inalojukumu la kuanzisha kampeni za uzazi wa mpango kunusuru mabinti na uchumi wao na wazazi wao
Si ndo nnachosema🤣🤣🤣ni wapuuzi hawajielewi wanasimamia nini. Na wao wamezalisha kwengine wakija huku wanatukana single moms ila kila siku yanalia oh mama wa mwanangu hataki nimuone mwanangu. Mi mbona na ubini ningebadilishaWakiwa huku wanaongea sana
Ooh usioe singo mamaz
Kumbe dada zao ni wale wale tu
Cha msingi vijana wetu wa kike na kiume waelekezwe kuacha uzinziHawazilishi kwa kukusuidia, inakuwa hata sio mpango wao kupata watoto. Elimu na huduma za uzazi wa mpango inabidi viboreshwe .
Cha msingi vijana wetu wa kike na kiume waelekezwe kuacha uzinzi
Ikishatokea sasa ndo itabidi wakubaliane na hali.
Tuangalie matokeo maana kama makosa washafanya
Wazazi wengine ndio chanzo hasa wa kike kijana anataka kuoa mashariti kibao pengine mashariti hayo hata huyo mama haya wezi mwisho kuishia kulea wajukuuUkitaka kuona mzazi anavyoumia na kuaibika ni binti azalie nyumbani. Wazazi wengi huwa wanaumia sana ni basi tuu.