Mzigo wa usd 10mil kutoka tanzania wakamatwa south africa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzigo wa usd 10mil kutoka tanzania wakamatwa south africa

Discussion in 'International Forum' started by Delegate, Jul 1, 2012.

 1. Delegate

  Delegate JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 35
  Kwa muda huu tunapoongea hapa polisi wa africa kusini wanendelea kutoa taarifa za kutisha kuhusu mzigo wa madawa ya kulevya uliotoka tanzania kupitia tunduma. zambia then zimbabwe,baada ya truck iliyobeba mzigo kuingia africa kusini polisi walipewa tip na raia wema kutoka tanzania na kuweza kukamata mzigo,taarifa zinasema mzigo unahusisha watu wenye madaraka makubwa tanzania,stay tuned!

  mandrax-confiscated.jpg
  hayo ndio madawa yaliyotoka tanzania mali ya viongozi wa tanzania
   
 2. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Tanzania chini ya rais dhaifu ni kisima cha madawa ya kulevya.
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hii week ya shetani, kila kukicha kuna habari mbaya kuhusu Tanzania!
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  nadhani ni majumuisho ya vidhibiti wanavyovikamatahga ndio huwa wanapeleka huko
   
 5. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Hii ndio tanzania
   
 6. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Habari mbaya mfululizo; walianza Uamsho, ukafuata mgomo wa madaktari, bajeti ikatishiwa kugomewa, mara wahabeshi 45 wafia kwenye lori, Iran imetoroshea meli TZ kukwepa vikwazo, mabilioni yamefichwa huko Swiss, Dk Ulimboka kanusurika kuuwawa, now madawa ya kulevya toka TZ vyote ndani ya wiki mbili...

  Mheshiwa sana JK tunataka kusikia hivi; Barabara ya Tunduma Sumbawanga kiwango cha lami yazinduliwa, Rais anakabidhi MRI scan, Meli mpya yawasili ziwa Victoria, Wanafunzi vyuo vikuu waandamana kupongeza serikali kuwahisha boom and the likes good stories
   
 7. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 454
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Warudishe kwa presidaa wa bongo
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Haya yanayoendelea sasa si mema hata kidogo...yanaashiria kuwepo tatizo kubwa
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mkuu wa kaya akaoge na maji ya magadi
   
 10. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Tatizo kubwa halijaanza leo mkuu, bali lilianza 2005 baada ya usukani wa taifa hili kukabidhiwa kwa nahodha DHAIFU.
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  inamaa huwa hawayaharibu..
   
 12. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  I am thinking about my country. CCM ni mashetani wanaoonekana, haya yote ni laana za Mwinyi, siku moja mtaamini.
   
 13. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Kuoga pekee haitoshi; achukue na ya kunywa mara 3 kwa siku kama panadol:-(
   
 14. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  Enzi za mzee wa ruksa .Mawaziri hawakuaminika.Diria alikaguliwa germany.Hawa mbwa wa ccm wakaanza tushawishi tuwe wakali kuwa maofisa wetu wamedhalilishwa.Kaja kikwete wa namna hilihile sasa mtaamabiwa na rostam kashikwa tuandamane.
   
 15. Delegate

  Delegate JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 35
  habari mbaya kabisa kwa taifa letu
   
 16. a

  adolay JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,567
  Likes Received: 3,026
  Trophy Points: 280
  Anatafutwa mtu mungu hafanyiwi dhihaka. Watu wanaswali na wengine wanasali. Hii yote nikuombea taifa ili watu wake waipate haki ya kweli - mungu ameanza kujibu.

  Huu ni mwanzo tu makubwa yanakuja yanatisha kama nin.
   
 17. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Dhaifu si alianza kuimba taarabu siku nyingi kuwa ana majina yote ya wauza unga, lake likiwa la kwanza lol
   
 18. Delegate

  Delegate JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 35
  By JIMMY CHIBUYE
  GOVERNMENT will not intervene in the case where three Zambians have been arrested by South African authorities for trafficking in mandrax worth over K25 billion, Minister of Home Affairs Kennedy Sakeni has said.
  Three Zambians aged between 32 and 40 were on Saturday arrested on Duncan Road in Gauteng for transporting drugs with an estimated street value of 34 million rands.
  Mr Sakeni said in an interview in Lusaka yesterday that Government will not intervene in the matter because drug trafficking in a foreign country is an international felony and that the trio will be tried according to South African laws.
  "We cannot do anything because every person who is arrested committing a felony in a foreign land is supposed to face the law of that land and those Zambians will be subjected to South African laws on drug trafficking.
  "My appeal, however, to all Zambians especially youths and women, is to desist from engaging in drug trafficking, which is tarnishing our country's name and image," he said.
  The minister said it is embarrassing that young Zambians have resorted to drug trafficking as a means of making money.
  Mr Sakeni said there are many programmes Zambians can venture into to make money, instead of engaging in drug trafficking.
  He said Zambians risk being vigorously searched at international airports because of "a few bad eggs" that have resorted to drug trafficking to earn a living.
  Mr Sakeni said the continued arrest of Zambians in foreign countries for drug trafficking is shameful.
  He said all nations have stepped up the fight against drug trafficking.
  Mr Sakeni said Zambians should take advantage of the opportunities the country is offering to engage in economic activities.
   
 19. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hao raia wema kutoka Tanzania wamelipiza kisasi baada ya kulizwa na wadau wenzao katika hili na ndio maana wakawatonya polisi wa Afrika ya Kusini.

  Kwenye biashara ya madawa ni kulizana tu na kulipizana kisasi. Nina hakikia hawa Drug Lords watakuwa wanawajua raia wema ni akina nani, na kwa kwa huu ni mtandao, maisha yao yako hatarini.
   
 20. k

  kitero JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ka nchi kadogo lakini ni zaidi ya ukajuavyo.
   
Loading...