Mzigo mzito mpe mnyamwezi na mgogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzigo mzito mpe mnyamwezi na mgogo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SoNotorious, Apr 18, 2012.

 1. SoNotorious

  SoNotorious JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 11, 2011
  Messages: 2,426
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  CCM ni mzigo mzito ambao haubebeki bila kukuachia maumivu makali ya mgongo lakini hawa ndugu zetu wameubeba kwa miaka takribani 50 bila kutua, nini kifanyike ili kumtoa utumwani mtumwa asiejua kama yuko utumwani wakuu!
   
 2. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Utukome kama....... Msula eve, teteteteeeeee....
   
 3. mgashi

  mgashi JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hakuna cha msula wala nini ni ukweli mtupu.
   
 4. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  C.c.m. Chama cha mgogo na mnyamwezi.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Wanyamwezi ni natural born watumwa. Waliuzwa utumwani na Mwarabu, wakatumikishwa utumwani. Nyumbani Wanyamwezi ni watumwa kwa wake zao, wao wanajiona wanajua kupenda na kujali.
  Kisiasa CCM inawatumikisha na haikuendelezi Tabora. Wanyamwezi amkeni kutoka kwenye utumwa wa fikra, ikataeni CCM
   
 6. s

  sanjo JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Tuwasaidie kuwapa somo wataelimika tu. Lawama hazitawafungua macho.
   
 7. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,106
  Trophy Points: 280
  ongeza na wa moro na tanga
   
 8. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2013
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Umenikumbusha mfanya biashara tajiri wa enzi hizo mzee tippu tip. Kudadadeeeki.
   
 9. m

  mnyamiwono JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2013
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 707
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!
   
 10. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2013
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mmmmh inaweza kuwa kweli? Sikonge hebu rudi tena kwenye huu uzi tu-digest tena.Huyu bwana anaweza kuwa msula kweli lakini ni uongo?The Boss,Kaunga,Elli,Ablessed hebu njoni
   
 11. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2013
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 44,593
  Likes Received: 25,518
  Trophy Points: 280
  nilipowadharau ni pale mtu kama Rage eti naye anawaburuza !
   
 12. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2013
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 44,593
  Likes Received: 25,518
  Trophy Points: 280
  he! Kumbe ni kweli ? Au ndiyo maana wanapenda sana ugali , chakula cha wafungwa ?
   
 13. hekimatele

  hekimatele JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2013
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 9,489
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  mizigo gani hiyo jamani?
   
 14. c

  casampeda JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2013
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 2,760
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Maswala ya ukabilaukabila noma sana,ndio maana Mwalimu alikataa baadhi ya Makabila yasichukuwe Uraisi,mojawapo WACHAGA,angalia MKAPA ni MMAKUA kabila ndogo sana,ndani ya MASASI (wachache),JK ni ------ ndani ya BAGAMOYO ni wachache,MWINYI ni mtu wa KISIJU nao wachache sana,MWALIMU ni MZANAKI pia kabila ndogo,kwa maana hiyo kama kuna watu wawili vichwa afadhali achukuliwe ambae kabila lake ni dogo,tofauti na KENYA hata akisimamishwa SHOGA kwenye URAISI au UBUNGE au USENETA atashinda tu ilimradi kabila lake ni kubwa.
   
 15. SoNotorious

  SoNotorious JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2013
  Joined: Sep 11, 2011
  Messages: 2,426
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hujanielewa mkuu
   
Loading...