Mzigo mpya wa original apple ipads 2&3 with 1 year international warranty! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzigo mpya wa original apple ipads 2&3 with 1 year international warranty!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by lara 1, Aug 13, 2012.

 1. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  HABARI ZENU WAKUUU!

  TUMELETA MZIGO MPYA WA APPLE I PADS ZIFUATZAZO, NI MPYA KWENYE BOX,ORIGINAL NA ZINA INTERNATIONAL WARRANTY YA 1 YEAR.

  APPLE I PADS 2, 16GB, 3G NI $750

  APPE I PADS 3, 16 GB , wfi and 4G NI $850

  APPLE I PADS 3, 32GB, wfi and 4G NI $1000

  APPLE I PADS 3, 64GB, WFI and 4G ni $1100


  TUPO MIKOCHENI
  0716961490
   
 2. M

  Mwlmgomaji Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mnauza i pad 2 au na mizgo mingine kama use apple laptops yani mac book pro
   
 3. C

  CHIJANYE JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 344
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Nahitaji i phone kama unazo
   
 4. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Chitaji kutoa comment kwenye prices nyingine ila hapa tu panatosha
  Wale Elite computers ambao tunaona ni expensive wanauza milioni 1 point 6 hiyo Ipad 3 64GB.

  Matokeo yako ww unauza 1100x1590= 1749000 bila aibu kweli.

  Wat is so special with ur Ipads.

  Ningeshauri ufanye review ya prices tena at least ufanye dola 900 kwa Ipad 3 64GB sio mbaya mkuu.

  Au labda kama una include Bluetooth Keyboars SD card reader na Ibattz Mojo hapo sawa mkuu.

  [TABLE="width: 64"]
  [TR]
  [TD="width: 64, align: right"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 5. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Mkuu naona umeamua kunipangia bei!? Sikililiza nikwambie kitu, kila mtu anaefanya bishara anajua mzigo nchi alipouchuku, bei alichukulia na kodi alizolipia, ndo maana anachaji bei itakayomlipa. Hilo moja, mi mzigo najua ni original(very), nimeuchukua sehemu ya uhakika kwa bei ya juu sasa siwezi kuuza kwa hasara coz wengine wanauza kwa hasara

  I PADS zingine za kichina, au za SA full magumashi lazima ziwe cheap ili mlizwe vizuri, isitoshe wengine mabingwa wa kukwepa kodi bandarnini hivo lazima wauze cheap

  We google Ipads from authorized dealer hata wa china afu ona bei in USD afu linganisha na hiyo yetu ndo utajua vitu original ni very expensive.

  Bei nayochaji ni halali sababu mzigo ni original na wa uhakika. If you cant afford be my guset nunua za kichina au feki.

  Ndio maana hata tv za samsung game/magents wao ni ghali ila kariakoo ni very cheap alhough zote ni samsung
   
 6. Tekelinalokujia

  Tekelinalokujia JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakati mwingine rahisi gharama, japo sipendi vya ghali ila ndio hali halisi, mi nimekutana na iPad 2 used ya 16GB 3g wanauza 814usd, na huku nilipo ni duniani vitu vipo kwa vipimo sio bora mradi, wabongo tujifunze kupenda quality tuachane na cheap just for the sake of having something that looks real.
   
 7. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo unataka kusema Elite Computers wanauza Apple Products za kichina? Including hiyo Ipad 3 64GB tena ya GSM na Wifi kwa milioni 1.6?

  Note
  Siongelei Ipad za CDMA na Wifi au Wifi peke yake ambazo kwa bongo ni kama takataka. Naongelea hizo hizo zako unazouza ww.
   
 8. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Wewe ni wakala wa Elite computers au employee wa Amin Kurji? jamaa kesha kwambia kila mtu anajua alikotoa mzigo. Kama bei yake unaona kubwa achana naye kama waona ya amin kurji ni cheap nenda kabambe kitu ya Elite.
   
 9. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,920
  Likes Received: 2,069
  Trophy Points: 280
  Mkuu, hizi zimetengenezwa nchi gani? Package nzima ipoje (accessories)?

  Ni kama hii kwenye picha?

  [​IMG]
   
 10. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Non of the above is true.

  Nimetoa mfano wa duka ambalo unaweza kufanya formal purchases na sio za mtaani ambazo unaweza pata hadi kwa Dola 500 ili aondoe hiyo mambo ya feki na kadhalika. I kno wat is fake and Genuine mkuu.
   
 11. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Mkuu, unajua hawa watu wanaokuwa europe na USA hudhani kuwa TZ ya leo ni ile ya karne iliyopita. Wanapoleta bidhaa wanadhani ni products mpya kabisa hapa hazipo. Mwache akae nayo kisha ataileta ena hapa jf with sensible price.

  I will be foolish kununua product kwa price over 1000 barabarani nisinunue kwa kampuni iliyo established legally na ambayo ikiviolet warranty contract naweza kuishtaki.
   
 12. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280

  kaka mimi kwenye comment yangu sijataja jina la biashara la mtu yeyote, wala sitaki kuwazungumzi hao wauzaji, tatizo mlangu mimi ni wewe mtoa comment! Mimi hao wauzaji siwezi kujua detail za biashara yao wala sababu yao ya kuchaji price hiyo.

  ITS A FREE COUNTRY AFTER ALL!!! Mtu anachaji bei inayomlipa, sasa kama mimi hainilipi siwezi kuchaji, ndo maana nikakwambia SAMSUNG, LG, NOKIA, CANON brand hiyohiyo bei inayouzwa game ni kubwa kuliko ya maagent wao, na bei ya maagent ni kubwa kuliko za kariakoo. ila brand hiyohiyo.

  Ni choice yako mteja kununua unakopaamini na roho yako iliporizika.
   
 13. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280

  Ujue hizi mentality ndo zinazofanya watz hatuendelei, mimi nimetangaza biashara yangu kwa bei yangu, its a free country kama, hukuridhika na bei ungefungua thread yako na kuweka bei zako, sio kutaka niuze bei unayotaka wewe, Kwa taarifa yako mzigo nimeuuza 70% mpaka kufikia ijumaa iliyopita, sasa kama unasubiri nishushe utasubiri sanaaa.

  Kwa ushauri tu wewe ukienda kwenye biashara ya mtu, kama hukuridhika nayo ondoka kiustaarabu tafuta pengine patakapokuridhisha istoshe hajalazimishwa kununua sio kutaka kumsumbua mwenye biashara, huo ni uswahili na ukosefu wa ustaarabu. Ndo maana hata mimi nikienda shorprite nikakuta chumvi 2000 naondoka zangu naenda kwa mangi kununua chumvi 300 bila kuleta mtafutano usio na maana
   
 14. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Kufupisha mada wewe nenda kanunue huko, kama hayo unayosema ni ya kweli, ila mi bei nayouza ndo hiyo hiyo haishuki hata kwa oda ya raisi.
   
 15. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Yes unachoongea ni kweli mkuu. anyway sababu mshikaji anakuja juu sana mie ngoja nikae kimya. lakini mwenye kunielewa anielewe.

  Mie comment yangu ya mwanzo nilimwambia afanye Review ya prices tena kwa ku quote price za baadhi ya maduka ili kama alikurupuka basi afanye review kwenye bei. Hiyo nayo naona imekua balaa akaanza mara feki mara OG mara nn. Duh... Aiseee..!

  Niliuliza wat is so special kwenye mzigo wake? nikasema hivi kama kuna keyboards na mengineyo price yake ni sawa compared to other shops. Coz mfano keyboard separate inauzwa dola 70 na kuendelea. pochi ni ni dola 20 na kuendelea.

  Nachotaka nimwambie naweza kumuagizia hizo ipads tena Factory unlocked kwa whole sale ya dola 500 mpya. Asitake kujua zimeibiwa kwenye contena wala zimetoka wapi?

  Ingekuwa kila seller anasema ukweli mzigo kaupata wapi na kwa bei gani mbona Kariakoo tungekoma . Wat they do wana angalia market price. hata kama amenunua kitu kwa shilingi moja atauza kwa shilingi elfu 1.   
 16. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Poa mkuu nashukuru lakini usiwe na hasira sie tunakupenda ndo maana tuna comment kuliko mtu ana view na kusepa pasipo hata PM.
   
 17. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180

  Unadhani Shoprite hawana sanduku la Maoni. Do you know the meaning of SUGGESTION BOX?
   
 18. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #18
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Asante mheshimiwa
   
 19. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #19
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kwa website yao 4G LTE wanauza dola 499 sasa ndugu yangu mpaka unafika dola buku ni kodi au ndo mambo ya super normal profit kama enzi za biashara ya utumwa?
  Apple - The new iPad - It
   
 20. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #20
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,462
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Nyie toaneni roho na EYE PADS zenu.......sisi tuko huku........:yawn::yawn::yawn:

  [​IMG]
   
Loading...