Mzee Yusuf sasa Jahazi ndani ya Dar es Salaam Ijumaa ya kuamkia 8/8

Sina shida ya yeye kurudi shida yangu alivyoaga alisema anaenda kumtumikia Allah sijui sasa hivi imekuwa je? Ila hata hivy mimi ni nani mpk nianze kumjaji?
 
Wengi wanalalamika sababu mzee wakati amaacha muziki alileta mbwembwe kibao za dini huku akiwataka mashabiki wake kuchoma CD zote za nyimbo zake maana ni dhambi kubwa na yeye keshatubu
Sina shida ya yeye kurudi shida yangu alivyoaga alisema anaenda kumtumikia Allah sijui sasa hivi imekuwa je? Ila hata hivy mimi ni nani mpk nianze kumjaji?
 
Yeye ni mama,mume si ndo huyo huyo mzee labda kama anavumilia kuwa baba maana anazidi kuongeza tu watoto
Mtoto atakula nini? ukute yy ndi baba na mama wanaume siku hizi utadhani daaah ngoja niishie hapa
 
Enzi za JK,Mzee alifanikiwa sana akaanzisha biashara,akaacha kuimba akijua biashara zitamlipa. Sasa Magufuli kabana miaka 5 michungu. Biashara haziendi,mkopo bank anadaiwa.
Kaona bora arudi kuimba.
Mnaompinga mlitaka akaibe ?
Kila lenye kheri mzee. Halafu kwa ujinga wenu bado mtampigia kampein Magufuli.
Biashara zinawenyewe
Kama ulizoea kuishi Maisha ya juu na mpunga umekata tegemea maumivu

Ova
 
Duuh mtihani sana Tena Sana. Mitume, waja wema tunawasoma tu kwa vitabuu ila msoto walokula sio poa. Kiukweli tuombe mungu atupe mwisho mwema
 
Yeye ni mama,mume si ndo huyo huyo mzee labda kama anavumilia kuwa baba maana anazidi kuongeza tu watoto


Basi kama mmewe ni huyo huyo kuna shida mahali. Mimi sio mtu wa hz so hata sijui nani ni nani nawajua labda Khadija Kopa hivyo....................
 
Labda Allah aliyeenda kumtumikia yeye toka aache mziki aligundua siyo mwenyewe na badala take akagundua kuwa ni ALA ile ya kisu ndio maana kabadili gia angani


Kumtumikia ALLAH INAHITAJI UIKANE NAFSI YAKO KWANZA SIJUI JAMII INAMUONAJE WALE MASHEKHE ALIONGOZANA NAO KUTWA KUTOA DARSA KUWA MZIKI N UHUNI TU
 
Kwahiyo uislam umemruhusu arudi?!au muziki sio dhambi Tena kwa mujibu wa uislam?!!
Au ameisoma namba weeeee!akaona hapa atakufa njaa!!!maana hizi dini hizi!!!
Nadhan si vema kuukosoa Uislam kwa kumtazama Muislamu. Na kuna tofauti kubwa.
UISLAM UMEKILIKA NA WAISLAM WANA MAPUNGUFU MENGI MNO.
NDIO MAANA SIWEZI KUUFUNGAMANISHA UKRISTO MA USHOGA ATI TU KWA SABABU MAKASISI HULAWITI VIJANA WA KIUME TENA NDANI YA ROMA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom