Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,562
- 217,884
Wanaojua watueleweshe
Dah ! afadhali maana jamaa ana wake wanne sasa akidakwa itakuwaje ?Ilishatumwa humu hiyo.. Jamaa walisema ni Maigizo.
Bongo Movie.
afadhali !Bongo Movie.
Watabaki walipokuwa mwanzo kabla hajawaoaDah ! afadhali maana jamaa ana wake wanne sasa akidakwa itakuwaje ?
Mkuu ushaona pingu NYEUSI?
Pata picha jamaa akiwa kwenye giza, akicheka hata meno huyaoni!
😆😆😆
🤣🤣🤣
.. Wananzengo Watamsaidia !Dah ! afadhali maana jamaa ana wake wanne sasa akidakwa itakuwaje ?