Mzee wetu aboud jumbe tunaomba utuwekee kitabu cha matatizo ya muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee wetu aboud jumbe tunaomba utuwekee kitabu cha matatizo ya muungano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sammosses, Jul 5, 2012.

 1. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ni muda mrefu sasa mzee wetu umenyamaza kimya hatukusikii wala serikali ya chama chako haisemi chochote na wamesahau mchango wako kwa kulitumikia taifa hili. Naomba nichukue fursa hii kukuomba utuwekee kile kitabu chako tukisome kwani uliainisha matatizo makubwa yaliyopo kwenye Muungano kitu ambacho mpaka leo hakijapata tiba.

  Pia jitokeze kutoa mchango wako ambao utatusaidia sisi vijana kujua ni aina gani ya Muungano tunaotakiwa kuwa nao na ni kwanini Muungano huu unakuwa ni fumbo la imani.
   
 2. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Yafahamu haya kwanza:-
  1. Aboud Jumbe hawezi kuona kutokana na na maradhi uoni wake.
  2. Ni mtu wa kukaa ndani kwenye kadamnasi hajitokezi hata msikitini haendi.
  3. Watoto wake ndiyo hivyo tena, kwamba wanatembelea JF, mmh!! Sijui labda yule mmasai akiambiwa atamwambia mzee.
  4. Akiambiwa sidhani kama utapata matokeo chanya. Nina mashaka mno na uwezo wake wa kukumbuka. Usijeshangaa namna atakavyokuchanyia habari.

  Wasalimie ukienda, enhee!!
   
 3. S

  SubiriJibu JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 1,126
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  Nusu ya marais wastaafu wa Zanzibar walio hai wana matatizo ya macho, hawaoni.
   
 4. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ok nakubaliana nanyi,kama kuna mwana JF ana nakala za kitabu hicho atuwekee kwani kilieleza uhalisia na ubaya wa Muungano huo wa watu wawili kitu kilichopelekea kulazimisha kuachia ngazi enzi zile za zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa CCM
   
 5. S

  SubiriJibu JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 1,126
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  Mimi nilikisoma chote hasa cha Kiswahili.

  Lakini kama unafuatilia matatizo yote ya muungano hata humu JF basi ni sawa na kuwa umesoma kitabu kile, utakosa tu picha ambazo zimo ukurasa wa 20 na 78.

  Lakini kama ni copy ya Mkataba wa Muungano yaani Arcticles of Union ambao uko page 156 hadi 158 nao nilishauweka humu JF THE PLACE WE DARE TALK OPENLY {Bonyeza thread hii}.

  Actually niliu-copy toka humu kitabuni.
   
 6. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ok,nimekuelewa tunaomba kama kuna mtu anacho kitabu kizima atuwekee
   
 7. mcubic

  mcubic JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2016
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 10,165
  Likes Received: 4,195
  Trophy Points: 280
  Inna lilah waina ilaih rajiuun

  Vipi ulipata mrejesho?
   
Loading...