Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 481
Frankly speaking sijawahi kuwa karibu na Mzee Sinde, Joseph lakini waliowahi kuwa karibu yake wanadai kuwa Mzee wetu ni wa kiroro sana na portman kwa wingi! Hii inaweza kuwa ni moja ya sababu?
Plz n00b. That is alarming. Habari kubwa sana huanza na tetesi. Unatufanya tununue uwezo wa ziada wa kukuvumilia mpaka utakapoamua kuzisema hizo tetesi zako za sababu ya kuanguka ghafla kwa Mwenyekiti wa Tume ya Kukusanya Maoni ya Katiba Mpya, Makamu wa Kwanza Mstaafu, Waziri Mkuu Mstaafu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mstaafu na Jaji wa Mahakama Kuu Mstaafu.
Tunasubiri kwa hamu sana tambu hilo na ukumbuke kuwa ni deni hapa.
Mzee Warioba imeripotiwa kuwa ameanguka huko Serena Hotel lakini yasemwa ni 'dizzy spell' lakini aliweza kuinuka mwenyewe na kupelekwa hospitali. Hali yake inadaiwa ni mzima na wananchi wasiwe na hofu yoyote.
Vyanzo vya kuaminika toka eneo la Serena Hotel vimethibitisha tukio hilo na kutuhakikishia kuwa mzee Warioba anaendelea vizuri na tukio zima linahusishwa na uchovu.
apunguze pombe. Kilimanjaro moto si mchezo. mimi hua nawaangaliaga tu.
Pole sana Mzee Warioba Mungu hatakujalia utapona.
si kweli labda uniambia ameacha lini?:nerd::nerd:Mzee Warioba si mnywaji wa pombe contrary to popular opinion.
Mzee wa watu amepewa majukumu mazito mno.
si kweli labda uniambia ameacha lini?:nerd::nerd:
Get well mkubwa,tunasubiri updates
Mzee Warioba imeripotiwa kuwa ameanguka huko Serena Hotel lakini yasemwa ni 'dizzy spell' lakini aliweza kuinuka mwenyewe na kupelekwa hospitali. Hali yake inadaiwa ni mzima na wananchi wasiwe na hofu yoyote.
Vyanzo vya kuaminika toka eneo la Serena Hotel vimethibitisha tukio hilo na kutuhakikishia kuwa mzee Warioba anaendelea vizuri na tukio zima linahusishwa na uchovu.
- Na sisi Tanzania kama hatushituki tutaishia kule kule kwa hao Spanish, wazee wataendelea kutuchezea akili mpaka tutakapoamua kwamba sasa basi tuungane bila kujali itikadi na kuweka taifa mbele!
William.
- This one I am with you, Mh. Warioba amelifanyia mengi sana hili taifa na hakuwa mdokozi au fisadi, anaijua Sheria kuanzia ya nchi kavu mpaka ya bahari na Dunia inamtambua, huwa hatafuni maneno, lakini pia sio Malaika!
- Kuanguka kwake ni kawaida katika maisha, cha muhimu ni kwamba ni mzima 100% na kwa sasa amepumzika nyumbani kwake, CDM wasingekubali katiba kuongozwa na yeye kama wanafikiri kwamba hafai, ishu ya ujana na uzee kwenye hili taifa imetufisha pahali kwamba haijadiliki tena kutokana na jinsi Vijana walivyotuangusha!
- Dhana ya uzee bila hoja za msingi ni kupoteza muda wa bure, I mean understandable Vijana wachache kama Zitto, Nape, Januari, ambao wameonyesha kwamba wanaweza kusimama na hoja nzito kwa taifa, lakini hawatoshi na sasa tunaishia kushikana mashati na wazee ni kwa sababu wengi wetu Vijana tumekubali kuwa bendera za wazee bila kujua kwamba for that tumegeuka kuwalinda kwenye nafasi tunazotakiwa kuzishika, wanatudanganya na peremende kidogo, tunaanza kugombana wenyewe kwa wenyewe wao wanashika nafasi!
- I mean juzi nimeingia EAC race nimekutana na mtu ambaye mimi nikiwa Chekechea, yeye alikuwa anakimbiza mwenge, here he was running for EAC with me, sasa what do you expect is it a system hapana ni sisi wenyewe Vijana ndio tumeruhusu haya kwa sababu ya tamaa za kijinga, sasa unaanza kumtukana huyu Mzee ambaye hana shida kwa sababu he has enough pension na wala sio mwizi, badala ya kulilia mawaziri vijana wapelekwe kwenye sheria, unaanza kutukana wazee as if it will help anything, Vijana wengi wametuangusha sasa let wazee waendelee kututawala mpaka tutakapojifunza, kwamba we are the majority na wao ni minority!
- Pale New York City, pana mfano mmoja huwa unanimaliza sana, ni ule wa Spanish people, wao ni majority sasa hivi meaning kwamba wanatakiwa kutoa Mayor wa the City, lakini kwa sababu hawajijui matokeo yake Mjew Bloomberg anaendelea kuwachezea vichwa na kushika the City, mpaka siku moja watakapoamka.
- Na sisi Tanzania kama hatushituki tutaishia kule kule kwa hao Spanish, wazee wataendelea kutuchezea akili mpaka tutakapoamua kwamba sasa basi tuungane bila kujali itikadi na kuweka taifa mbele!
William.