Ni hivyo tu basi?!!!!Ukitaka kujua ni mwanao au lah....we akizungua mpige vya kutosha.....kama ni mwanao itamchukua muda mfupi kusahau nakuja kudeka kwa baba kama kawaida.....akikuchukia na kuweka kinyongo huyo sio mwanao unaishi na adui ndani..
Ni hivyo tu basi?!!!!Ukitaka kujua ni mwanao au lah....we akizungua mpige vya kutosha.....kama ni mwanao itamchukua muda mfupi kusahau nakuja kudeka kwa baba kama kawaida.....akikuchukia na kuweka kinyongo huyo sio mwanao unaishi na adui ndani..
Basi kama ni hivyo hatari sana.mtoto wa rugemalila huyo( wa escrow
Mkuu mbona hujatuambia mzee wako alienda kukupima DNA wapi?? na iligharimu kiasi gani.Najisifia mno, kwani now mzee ana uhakika mimi ni damu yake na nashukuru Mungu naiona support yake kwangu kama baba.
Aliniambia mother, ila hakuniambia ni wapi. Nilikuwa mdogo.Mkuu mbona hujatuambia mzee wako alienda kukupima DNA wapi?? na iligharimu kiasi gani.
Fanya vyovyote,Mpe sijui jina,Sijui malezi ya gharama,upendo n.k lakini siku zote damu ni nzito kuliko maji! Kamwe haiwezi kuwatenganisha mtoto na baba yake! Atarudi tu!Kama mtoto umemlea kwa upendo, ukampa na jina lako la mwisho hata kama si damu yako mzazi wake halisi ana nafasi ndogo sana kulinganisha na ya kwako.
In short huyo baba yake ni looser. Yeye na hawara wake wana chaguo mbili, kufa na siri au kusema kweli wapate aibu ila mtoto hawatampata. Bond ya mzazi hainunuliki.
Fanya vyovyote,Mpe sijui jina,Sijui malezi ya gharama,upendo n.k lakini siku zote damu ni nzito kuliko maji! Kamwe haiwezi kuwatenganisha mtoto na baba yake! Atarudi tu!
Nasisitiza hata mzazi amfanyie kosa gani mtoto... siku zote DAMU NZITO KULIKO MAJI! ni swala la muda tu.Kwa sasa we jidanganye tu. Atataka tu ajue hivi mzazi wangu halisi ni yupi ni popoma hivyo?
Hakuna kijana au binti anayebond na mzazi ukubwani. Atataka akujue tu unafananaje halafu itaishia hapo. Kama umetelekeza nakushauri chukua hatua. LEA MWANAO MWENYEWE.
khaaaaaaahMimi na mwanangu ni copyright DNA kupima ni kwaajili ya wenye mashaka,
Kwa mfano kuna mwamba mtaani kwako anafanana na mtoto wako mwanzo mwisho
Kitanda hakizai haramu? nonsense misemo mingine wabaki nayo wazee wa zamani miaka hii utalea watoto watatu wote wa kijana mnyoa kiduku mtaani.
Huu uongo mtupu khaaaah.DNA konki.
mtazame mama yako kisha sura ilinganishe na mtoto wako awe wakike au wakiume.
ukiona hakuna hata kimoja kilicholandana timua mtoto na mama mtu.
DNA ya pili.
Lafudhi, tabia zako za utotoni lazima zilandane na za mwanao.
Mmepigwa wengi wenu.
Jidanganye na damu nzito🤣 telekeza wanao. Jinga kweli, LEA WATOTO WAKO.Nasisitiza hata mzazi amfanyie kosa gani mtoto... siku zote DAMU NZITO KULIKO MAJI! ni swala la muda tu.