mzee wa walaka wa wakatoliki yuko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mzee wa walaka wa wakatoliki yuko wapi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jibaba Bonge, Oct 6, 2010.

 1. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Wakuu Sijamsikia Yule mzee wa walaka wa wakatoliki Kingunge ngombale Mwiru. Baada ya kuwepo kwenye kampeni za kule kusini sijamsikia tena kulikoni? au maji ya shingo?
   
 2. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Aliyoyaona bungeni wakati EL anasulubiwa hana hamu tena! Kwani kampeni hizi inaweza kuwa zamu yake! Pili Urais ni suala la kifamilia!
   
Loading...