Mzee wa Upako atokwa povu kutopewa nafasi kuiombea Dreamliner

Mbona hata mimi nimchungaji wa muda mrefu nilikuwepo tana mbele yake na sikunyeshewa na sikupewa nafasi kuombea dream liner na sija lalamika? Kama kungekuwa na ulazima wa kila kiongozi wa dini aliyekuwepo kuombea tungekesha tunaombea ndege. Pombe tungekunywa saa ngapi sasa?
 
Wewe mchungaji unakunywa pombe na wewe?
 
Wewe mchungaji unakunywa pombe na wewe?
Ndiyo. Kitabu pia kimeelekeza. Kila kitu kwa wastani. Ndio maana hata huyo mlalamishi anakunywa ila anakosea kuzidisha mpaka anaanza kutukana majirani. Kunywa kwa afya hakuna tatizo. Hata kule harusini Kana divai ilipoisha Bwana akatengeza nyingine mpaka watu wakashangaa kuwa hii iliyotulia namna hii ilifichwa wapi? Wakanywa mpaka wakatindikiwa
 
Yuko bize kupongeza na kusema Magu akaze, mara hii serikali ndiyo nzuri kumbe anataka favour. Anajua kula na kipofu
 
Ndiyo. Kitabu pia kimeelekeza. Kila kitu kwa wastani. Ndio maana hata huyo mlalamishi anakunywa ila anakosea kuzidisha mpaka anaanza kutukana majirani. Kunywa kwa afya hakuna tatizo. Hata kule harusini Kana divai ilipoisha Bwana akatengeza nyingine mpaka watu wakashangaa kuwa hii iliyotulia namna hii ilifichwa wapi? Wakanywa mpaka wakatindikiwa
Ahsante kwa elimu baba mchungaji
 
Mbona hata mimi nimchungaji wa muda mrefu nilikuwepo tana mbele yake na sikunyeshewa na sikupewa nafasi kuombea dream liner na sija lalamika? Kama kungekuwa na ulazima wa kila kiongozi wa dini aliyekuwepo kuombea tungekesha tunaombea ndege. Pombe tungekunywa saa ngapi sasa?
Mmmmh Mchungaji uyoo! Tena sio Mchungaji tuu bali ni wa muda mrefu
 
Huyu na bado, kwa laana ile ya bapa, kanisani na kutumia jina la Bwana kihuni huni lazima ataumbuka sanahiyo chupa ina nyagi
 
Back
Top Bottom